MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,860
Mbona wengine zimewabana suruali...hivi anakaa vipi?![]()
kina nani hawa!!!!
Mbona wengine zimewabana suruali...hivi anakaa vipi?![]()
kina nani hawa!!!!
Yule jamaa wa single button ndo apipewa tenda ya kuzitengeneza.
Sijajua budget ni kiasi gani make hii nchi kila mtu anajua mbinu za kuila.
Yule jamaa wa single button ndo apipewa tenda ya kuzitengeneza.
Sijajua budget ni kiasi gani make hii nchi kila mtu anajua mbinu za kuila.
Mbona wengine zimewabana suruali...hivi anakaa vipi?
Aaaah hata wewe pia unabana hizo nyanyaHiyo ni Slim Fit mahsusi kwa watu wenye miili moderate na warefu...models wengi wenye miili iliyoslim hupenda kuvaa hivyo..binafsi ndio suti nipendazo kuvaa maana umbo linaruhusu
Hiyo ni Slim Fit mahsusi kwa watu wenye miili moderate na warefu...models wengi wenye miili iliyoslim hupenda kuvaa hivyo..binafsi ndio suti nipendazo kuvaa maana umbo linaruhusu
Kaseja je?
Ok tuendelee
Aaaah hata wewe pia unabana hizo nyanya
Mbona wengine zimewabana suruali...hivi anakaa vipi?