Hapa inaonekana Kaseja ni mzoefu wa kuvaa suti, hata mapozi yake yanaeleza tu. Ila huyo Ka-alcohol na wenzake mmmh![]()
kina nani hawa!!!!
Dah huyu jamaa wa kati kumbe akivaa suti anapendeza eenh......![]()
kina nani hawa!!!!
Msiposhinda mnarudisha suti sio kujidai hapa
mkuu siku ile wanaenda kuonana na baba riz hawakuwa wamenunuliwa hizi!!next time utawaona hivi!!Nilijiuliza sana walipoenda ikulu kuonana na mkuu wa kaya kwanini hawakuvaa hivi? kwa maoni yangu naona walizalilisha ikulu kwani walienda kama wanaenda mazoezini, aaaaah kumbe wanaweza kupiga vitu kama hivi
Ukianza mazoezi na weye utapendeza kama jamaa???mkuu mimi sikuwa nimemfahamu!!aiss suti inatupa muonekano mpya,ngoja nianze mazoezi!!
Kikosi cha Lunyasi 2014, Zahoro Pazi, JK na Shomari Kapombe![]()
kina nani hawa!!!!
Hah ha ha ha mkuu usikate tamaa aiseee.....nlikua natania tuumkuu asigwa...unakoenda ni kwenye kunikatisha tamaa!!!