M mamajack JF-Expert Member May 21, 2012 1,156 296 Jun 18, 2012 #2 mbona wapo wote wawili?au wanamtuliza dogo?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jun 18, 2012 #3 duh..dogo naona kashavu kanaanza kutoka..bungeni pazuri bwana asikwambie mtuu
hashycool JF-Expert Member Oct 2, 2010 6,555 2,829 Jun 18, 2012 Thread starter #4 asigwa said: duh..dogo naona kashavu kanaanza kutoka..bungeni pazuri bwana asikwambie mtuu Click to expand... umeona eeeh! Na pozi la kikuda kuda lishaanza!
asigwa said: duh..dogo naona kashavu kanaanza kutoka..bungeni pazuri bwana asikwambie mtuu Click to expand... umeona eeeh! Na pozi la kikuda kuda lishaanza!
iron2012 JF-Expert Member Feb 16, 2012 500 206 Jun 18, 2012 #6 upinzani kisiasa siyo ugomvi acha dogo apumue
BornTown JF-Expert Member May 7, 2008 1,716 481 Jun 18, 2012 #10 Matola said: Click to expand... Wale wa kina nanihii wako wapi kukomenti ktk hii picha nimeiona kule kwingine na huku imeletwa.....:flame:eace:
Matola said: Click to expand... Wale wa kina nanihii wako wapi kukomenti ktk hii picha nimeiona kule kwingine na huku imeletwa.....:flame:eace:
B BLB JF-Expert Member Nov 14, 2011 382 43 Jun 19, 2012 #12 Matola said: [h=6][/h] Click to expand... bonge la NYOMI
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Jun 19, 2012 #13 mmmhhhh tokea ipad hadi mkutano wa ccm..
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Jun 19, 2012 #14 BLB said: bonge la NYOMI Click to expand... Idadi ya wananchi ni aibu.
Buswelu JF-Expert Member Aug 16, 2007 1,998 352 Jun 19, 2012 #15 seniorgeek said: Hiyo ipad alikua kambebea Zitto au. Click to expand... Si alikuwa kwa obama majuzi alinunua kule...unaona hata kunyoa suti na mwili uomeongezeka bungeni bhana..
seniorgeek said: Hiyo ipad alikua kambebea Zitto au. Click to expand... Si alikuwa kwa obama majuzi alinunua kule...unaona hata kunyoa suti na mwili uomeongezeka bungeni bhana..
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,020 Jun 19, 2012 #16 hashycool said: umeona eeeh! Na pozi la kikuda kuda lishaanza! Click to expand... kwa hiyo wewe unata nassari amchape ana makinda makofi ndo ikamilishe maana ya upinzani??
hashycool said: umeona eeeh! Na pozi la kikuda kuda lishaanza! Click to expand... kwa hiyo wewe unata nassari amchape ana makinda makofi ndo ikamilishe maana ya upinzani??