Aaaaaaah konyagi does

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
aisee karibuni konyagi tuounguze stress.....hii kitu saaaaaafi sana maisha wayaona saaaafi sana.......afu ukinywa hii kitu sikiliza music bana aiseee taaaamu sana
 
Yoyo wewe ulikuwa huna pesa hiyo konyagi imetoka wapi??

Kumbe ulikuwa unatuchora tuuu??

Sikutafuti tena weekend hiii
 
Back
Top Bottom