sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hahaha! Nimekujibu mbona?Kwanza arusha nishapachoka....
Hivi hata jf delivery huwa inachelewa eeeh
Hahaha! Nimekujibu mbona?Kwanza arusha nishapachoka....
Hivi hata jf delivery huwa inachelewa eeeh
Zawadi ni zawadi, we mpe ataipenda.. Ingekuwa mbaya ungeing'ang'ania?Kwanza zawadi yenyewe mbayaaaaaaaa nashangaa anaing'ang'ania utadhani nikimpa ataipenda
Kaka/dada sina hakika kama ulikuwa arusha....arusha hii hii...ngome ya kina piiijeeeey,pretta,lil flower,filipo,saharazone,derimto,kabakabana,filipo,freetown,teamo mimi,raiafulani,blackwoman,sweetldy,wiselady....et al!...
wewe hujaenda arusha wewe...!
Kinda ask the same qn. Huwezi sema umefika Arusha bila kukutana na hili nyomi plus Mzee wa Rula, liverpoolfc, Msindima, saharavoice et el. Hawa ndo JF Arusha wing bana.......
BTW Sweetlady popote ulipo jibu sms yangu tafazali.... Kabla sijakuchenjia. Blaki womani muda si mrefu ntakupotezea ujue.....!
Babu mkisikia wajukuu wanakuja mnajifanya hamna taarifa lolKinda ask the same qn. Huwezi sema umefika Arusha bila kukutana na hili nyomi plus Mzee wa Rula, liverpoolfc, Msindima, saharavoice et el. Hawa ndo JF Arusha wing bana.......
BTW Sweetlady popote ulipo jibu sms yangu tafazali.... Kabla sijakuchenjia. Blaki womani muda si mrefu ntakupotezea ujue.....!
Dah halafu ukitaka kuona jamii ya A town usifante una haraka ya kurudi kwako...sawa dogokwani babu na wewe upo ARS???
Hahahah ni mji mzuri ila nishauchoka nataka kwenda maumziko Korogwembona maneno yako na sahihi yako haviendani??
aha haa h h aha hhaha, majukumu ndugu yangu!!!!
PJ tulimuacha kwa kuwa alikuwa busy...Preta alijua dogo kaja...ila wewe ndo hukuonekana kabisa....Erick & Smiling S...... Mnauliza au mnataka kujua. Cheki na cheaman Pakajimmy, sekretare Preta na wajumbe wa kamati tendaji wa JF Arusha Wing.
Need I say More?
Erick & Smiling S...... Mnauliza au mnataka kujua. Cheki na cheaman Pakajimmy, sekretare Preta na wajumbe wa kamati tendaji wa JF Arusha Wing.
Need I say More?
Hebu fafanua, mie sijakuelewa.