A.W.O.L (Joni)

joni joniii!!
yes papa,
eating suger??
noo papaaa..!!1
open you mouth..!!
haahaaaa.haaa.
 
Au labda wamechukua matusi yake kutengenezea dawa za kuongeza nguvu za uume? (kwa maelezo yako uliyowahi kunipa Mshana jr)
 
Hivi yule bwana Johny ana specific mark somewhere? PM anaweza akaletewa dubwana lolote lile na kuambiwa Johny wako huyu hapa!
Niliuliza hiko kitu huku mtaani nikajibiwa kua John hajafa kuna hotel yupo alinunuliwa watalii hua wanaenda kumuona, kwakua ishu inajulikana ukipeleka hayo meno yake unazidi kujichimbia kaburi.
 
Au labda wamechukua matusi yake kutengenezea dawa za kuongeza nguvu za uume? (kwa maelezo yako uliyowahi kunipa Mshana jr)
Hahaha! !+ [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…