A very hot debate:Pitia plz!!!

Mbwiga88

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
642
142
Jamaa zangu GT leo nikiwa katika gari ubungo-mwenge....kulikuwa na mjadala eti katika shule za Olevel which one is the best among the following;Marian girls',St.Francis girls',Kifungiro,Mary Goreth,St.Marys-Mazinde juu,Kibosho girls,Feza girls,kilakala,msalato kundi jingine lina Mzumbe,Kibaha,Ilboru,Feza boys,St.Joseph millenium,Loyola......michango yenu ni muhmu
 
feza girls ndio nyenyewe b'se even mwana-asha alipita pale!
 
msiseme sec school ndo ya ukweli,kwan mwaka juzi tulifaulu wanafunzi 70 kati ya 72 na tulienda advance.wakati toka form 1 tulikua na headmaster 2
 
Kama unataka shule ambayo Mwanafunzi atakifunza Kujitegemea (Independent) basi Mzumbe best for boys afu Kibaha. Msalato the best for gals afu Kilakala... Ila kama unataka wale wanaopewa kila kitu yaani kusomewa na mwalimu bac Marian, Feza, St.Mary Goreti, St.Joseph ni nzuri tu... Ila mwanao hapo mbele atasumbuka kdg......
Nimesoma sehemu zote mbili Olevel na sasa nipo Alevel Mzumbe,
 
sidhani kama ilikuwa inapaswa kuitwa hot debate hii ndugu yangu bado laini sana na kujua hilo ni rais sana kwani shule iliongooza kati ya hizo necta ni ipi?kama unajua iyo ndio bora kwa sasa
 
Kwanza tuelewe kuwa kama unataka maisha ya kujitegemea yaani self reliance kama zilivyokuwa kauli za marehemu aliyedai uhuru utambue kuwa shule za serikali ni bora hivyo ukiangalia kwa wavulana matokeo ya mwaka huu Kibaha imezipita zote za g'ment lakini kwa wasichana kama unazo au una mdogo wako mshauri mzee ampeleke binti yake Marian la sivyo serikalini atatoka na seri ya mviringo ambayo ni kali zaidi au mnasemaje GT? Nakaribisha proposers.
 
tumetoka kwenye mabishano ya coet na dit(mashindano ya vyuo) sasa tumehamia kwenye secondary schools...haya minapita tuu....endeleeni na kikao!!!
 
Nilazima Hili Liingie Akilini Kwe2:,
Kiukweli Kufaulu Kwa Mwanafunzi Kunachangiwa Na:-
1:shule Au Ki2o Anachosoma 5%
2:mwalimu Na Vyanzo(facilities)25%
3:jitiada Za Mwanafunzi(a Sudent Must Be inquisitive,curious Hard Working And Very Active In The Accademic Matters) 70%.
2mewezakuona.kiufupi Hakuna Shule Mzuri Kati Ya Hzo.zingekuwa Mzuri Zngechukuwa Waalimu Wa Kawaida Na Wanafunzi Mandindisa.huwa Zinachukua the Cleverest Students Na Huwa Zinamchujo Usio Wa Kawaida..kama Mtoto Wako Ana Sifa Mzuri ata Ukimpeleka "kwa Mtogole Sec.schul"atapata Daraja La Kwanza.mimi Nasema Hvo Coz Nilisoma Kwa Miaka 3 Tu mpaka Cha Sita.(qt)nilisoma Vi2oni Na Tution Centres 2 Lakin Nilipata Daraja La 3 Cha Nne Nanilisoma miaka2, Advanced Lv Nikasoma Mwaka 1 Tu na Nimepata Daraja La Kwnza La Point 9,nasubiria kwenda mlimani,mascom octba hii.washikaj Zangu Wamesoma mashule Makubwa ila hakuna ki2.waalimu wangu wamenipenda mpaka wamenichukuwa nifundishe o level ktk vi2o vyao. kiufupi ndo hayo wana jm
 
Back
Top Bottom