A Town vipi!!!!!!!

Joined
Sep 13, 2011
Posts
11
Reaction score
5
Nimepewa habari kuwa Arusha kumekuwa na ongezeko kubwa la MASUGAR MAMY. Watu wa Atown je kuna ukweli hapo??
 
Mhhhh hii hii Arusha au kuna nyingine
mbona hatuwaoni au wewe ndo umeangukia kwa mmoja wao
 
Niko chuga na hakuna masuga mamie bali masalt mamie.
 
Mhhhh hii hii Arusha au kuna nyingine
mbona hatuwaoni au wewe ndo umeangukia kwa mmoja wao
Labda anajaribu kuulizia au kuongelea kinachoendelea Moshi kati ya hao anaowasema na wanafunzi wa MUCOBS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…