A tour with a girl

A tour with a girl

Prof Decentman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
276
Reaction score
140
Wanajamvi, mimi ni mpenzi wa safari na mitoko si ya anasa just for leisure.

Hivyo basi nahitaji mdada anayejitambua umri kuanzia 18 mpaka 30, ambaye tutasafiri naye maeneo ya morogoro and mbeya just for tour, nitatumia gari private and all costs are mine yeye ni company tu. Tarehe ya tour ni mwezi august btn 6th to 12th.

Sifa.
Awe charming
Asiwe mkorofi
Asiwe mlevi wala mvuta sigara
Awe mtanzania
Awe na pia yake ya ziada kwa matumizi personal (coz gharama yangu ni lodge, food na usafiri tu)

Activities tutakazofanya ni pamoja na kupiga picha maeneo mazur..

Ambaye yupo interested ani PM.

Note.
It is just a tour, hamna ngono aka sex.
 
....na wewe weka wasifu wako wadau wajitokeze
 
ni pm aisee ile badili route twende kaskazini pls
 
(-ve na +ve) zinapokutana?????????kwenye lodge mtakua vyumba tofauti au mta share
 
Wanajamvi, mimi ni mpenzi wa safari na mitoko si ya anasa just for leisure.

Hivyo basi nahitaji mdada anayejitambua umri kuanzia 18 mpaka 30, ambaye tutasafiri naye maeneo ya morogoro and mbeya just for tour, nitatumia gari private and all costs are mine yeye ni company tu. Tarehe ya tour ni mwezi august btn 6th to 12th.

Sifa.
Awe charming
Asiwe mkorofi
Asiwe mlevi wala mvuta sigara
Awe mtanzania
Awe na pia yake ya ziada kwa matumizi personal (coz gharama yangu ni lodge, food na usafiri tu)

Activities tutakazofanya ni pamoja na kupiga picha maeneo mazur..

Ambaye yupo interested ani PM.

Note.
It is just a tour, hamna ngono aka sex.

Mbona leo sielewi?
 
Back
Top Bottom