A Surrender!!!

A Surrender!!!

ABINALA

Senior Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
134
Reaction score
55
Nimeamini mke mwema anatoka kwa Mungu kwani nishasota humu muda mrefu hakuna kitu KWAHERINI HAPA PENU HAPANIFAI! LET IT
 
Nimeamini mke mwema anatoka kwa Mungu kwani nishasota humu muda mrefu hakuna kitu KWAHERINI HAPA PENU HAPANIFAI! LET IT

Have hope Bro. despair is for the defeated.........
 
Mmmh... Pole sana..! Humu kumejaa mauzauza tuu..!
 
taja sifa unazotaka then nikuletee mke mpaka mlangoni, ukiridhika nae ndo tunaongea bei.
 
PERI;tuongee bei kwani mke zimekuwa ndovu tena? Battle is Lord's I can't 4c them to come
 
^^
Relax.. Akikosa hapa si lazima akose na pengine.
^^
 
ulikuja kutafta hapa kumbe....vipi? Ushachunwa na wangap?
 
Hachunwi mtu hapa account yangu imefungwa!!!
 
@ abinala, fanya yako hachana nao kama huwawezi hutapoteza mda wako na hela zako bila msingi wowote. mke ataku tu kwa mda wako binafsi! tafuta chapaa mengine yatafata
 
Back
Top Bottom