My dear asante sana najua umebanwa wala usijali.
BAK noumaa kakupigia kelele mpaka ukashindwa kulala jamani, nilisikia akikuita . Unajua mimi nilimwambia kurudi nyuma nzuri lkn yeye akasema eti mambo ya kisasa ni mazuri kuzidi ya nyuma ndio nikasema ngoja aje twin athibitishe kama kuna ukweli.
Halafu swali nililomuuliza akalikwepa hakulijibu, "Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea"