Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,351 Mar 29, 2019 #1 Chemsha yai Likiiva limenye Likate vipande vidogo vidogo Changanya na mayonnaise Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake Unaweza kutengeneza sandwich 🥪 ya kuendea kazini au picnic.
Chemsha yai Likiiva limenye Likate vipande vidogo vidogo Changanya na mayonnaise Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake Unaweza kutengeneza sandwich 🥪 ya kuendea kazini au picnic.
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Mar 29, 2019 #2 Tatizo la mayonnaise ukipendelea kula kitambi kinapiga hodi.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,351 Mar 29, 2019 Thread starter #3 Hawachi said: Tatizo la mayonnaise ukipendelea kula kitambi kinapiga hodi. Click to expand... Si kila siku na pia ufanye mazoezi
Hawachi said: Tatizo la mayonnaise ukipendelea kula kitambi kinapiga hodi. Click to expand... Si kila siku na pia ufanye mazoezi
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,195 Mar 29, 2019 #4 Sky Eclat said: View attachment 1057160 Chemsha yai Kikiiva limenye Likate vipande vidogo vidogo Changanya na mayonnaise Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake Unaweza kutengeneza sandwich ya kuendea kazini au picnic. Click to expand... Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ
Sky Eclat said: View attachment 1057160 Chemsha yai Kikiiva limenye Likate vipande vidogo vidogo Changanya na mayonnaise Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake Unaweza kutengeneza sandwich ya kuendea kazini au picnic. Click to expand... Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Mar 29, 2019 #5 Zero IQ said: Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ Click to expand... Msosi wa kawaida mno.
Zero IQ said: Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ Click to expand... Msosi wa kawaida mno.
W wakurochi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,647 Reaction score 2,954 Mar 29, 2019 #6 Safi sana kumbe !!! Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,190 Reaction score 4,263 Apr 6, 2019 #8 Zero IQ said: Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ Click to expand... Hata kama ninajenga kula vizuri lazima nile
Zero IQ said: Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ Click to expand... Hata kama ninajenga kula vizuri lazima nile
Kibo Jr JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 517 Reaction score 277 May 23, 2019 #9 Zero IQ said: Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ Click to expand...
Zero IQ said: Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza CC Zero IQ Click to expand...