A Senior Member? Thats Too Fast..

A Senior Member? Thats Too Fast..

ivibration

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
363
Reaction score
73
Am hardy a month old here. I don't even know a few people here and the moderators have already rated me a senior member. How do they do this? What criteria are they using?
 
Mkuu ivibration,

Soma maelezo haya;

Ni vigezo gani vinatumika katika ku-promote mdau kutoka Junior member kwenda member hadi kufikia JF Senior Expert Member?
0-49 Posts - Junior Member

50-249 Posts - Senior Member

250 - Senior Expert member

-Je, vigezo hivi vinategemea nini? Je ni idadi ya contributions, number of thanks, no. of credits au no. of threads started?
Number of posts by the user.

Kwa maelezo zaidi pitia viambatanisho hivi - https://www.jamiiforums.com/habari-...5-you-must-read-this-tafadhali-soma-hapa.html NA https://www.jamiiforums.com/habari-...10851-how-to-use-jamiiforums-effectively.html

Wasalaam!
 
Thanx for dat, mod.
Try also to consider other factors like period of time one has been active, e.g, 1year=senior member, etc.
 
Thanx for dat, mod.
Try also to consider other factors like period of time one has been active, e.g, 1year=senior member, etc.

I Second you on this!
Yan rating za sasa haziko njema!
Kwa mfano,mtu anaweza kila post akawa anaandika "gamba we",afu akakoment mara 250,bas hapo tayari ni expert member!
mwingine kama Hutaki Unaacha anapost post chache zenye umuhm na uzito mkubwa,ila due to idadi unakuta ni junior member au member!
 
Last edited by a moderator:

Thx bro. Hapo umenena.
 
sidhani kama jf ranks zinamata kama kuwa na kitufe chako ,utakimbizana nazo weeee utakomea hapo kama mimi so hizi ranks sio issue sana kama mnavyotaka kuzichukulia
 
Ushakuwa senior member, stop thinking like a jr sasa! When you grow up you stop counying the number: your age, weight, money, hearbreaks, backslides, jobs etc. You libe and enjoy life
 
Ushakuwa senior member, stop thinking like a jr sasa! When you grow up you stop counying the number: your age, weight, money, hearbreaks, backslides, jobs etc. You libe and enjoy life

You don't have to be confined inside the box, my friend. You have to think outside the box. If you happen not to care about anything revolving around you, Utapata walishakuuza na wakakula doo
 
Na hiyo t-shirt ndo uko huko huko au umesalula salula hapo mwenge?
 
Haha.Nitaenda na hiyo ya pili, Mwenge.Nimesota, sina doo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom