A road in North Korea

A road in North Korea

tuache kuamini propaganda za magharibi, jamaa wapo vizuri bwana, maisha mazuri, hata njaa Hakuna, kinachomisi ni demokrasia tu
 
Mkuu ebu tupe mawili,matatu juu ya taifa hili.
ha ha,we unataka wamarekani weusi humu wanune,,
north korea ndo nchi ambayo ilipigana na marekani na washirika wake na wakaomba yaishe,yaani ngoma ikawa draw,mpaka leo vile vita havijaisha rasmi ila kuna ceasefire
 
Wenzio wameandaa mkeka watumie wakati wa mfungo wa ramadhani wewe unafilia ni barabara acha ushamba ndugu
 
article-0-1A82C24600000578-5_634x536.jpg
Hivi huyu mmarekani alifikaje hapo kwa adui wa nchi yake!? Sio Rodman huyo!?
 
Nami swali hilo limenijia kwa kichwa yangu, hivi kweli nchi hiyo ni maskini kiasi cha kuifananisha na nchi za afrika!?
 
Jamaniii hamna Mtanzania ambaye yupo huko north Korea?! Nahamu sana kujua mambo ya hiyo nchi..
 
Vita ndio bata lenyewe kwao. Kila mtu na starehe yake.
kule hawapigani ovyo,kuna amani sana,si unamuona hata rais hana hata bodyguard,na hapo ni uwanjani,rais hayuko hata jukwaa kuu yuko pembeni anapiga story na Roadman
 
Hivi kuna wabongo wanaishi huko North Korea? Maana naona hiyo barabara inatisha inaonyesha ukiingia huko kama ukibahatika kurudi salama chinja mbuzi mia moja.
Mkuu

Upone wewe, halafu ufurahie kwa "kuua mbuzi"?
Kuna thread moja huku ndani inauliza "iwapo inatokea unachagua kuwa mnyama, je ungependa kuwa mnyama gani?", nawahurumia sana hao mbuzi 100.
 
Mkuu,
Mimi nipo hapa chagang province huu mwaka wa sita saa hivi.
Na asikwambie mtu,hakuna box tamu na lenye marupurupu kedekede kama box la north korea.
Mkuu huko si nasikia hakuna internet?
 
Back
Top Bottom