A road in North Korea

A road in North Korea

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
main-qimg-fbc549d4bce1d699b65395bf18930916
 
Mkuu naomba uongeze maelezo kidogo tafadhali barabara hiyo ni ya mjini Pyongyang au nje ya mji?

Asilimia kubwa za barabara za North korea ni kubwa kwa upana huo ili waweze ku=mobilize vifaa vyao vya vita kirahisi endapo itatokea vita.

So assume ni high ways.
 
Hivi ni mimi sioni vizuri ni ya kiwango cha vumbi au?
 
Hao jamaa muda wote wanawaza vita tu, hivi kuna bata kweli huko? stupid!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Hivi kuna wabongo wanaishi huko North Korea? Maana naona hiyo barabara inatisha inaonyesha ukiingia huko kama ukibahatika kurudi salama chinja mbuzi mia moja.
Mkuu,
Mimi nipo hapa chagang province huu mwaka wa sita saa hivi.
Na asikwambie mtu,hakuna box tamu na lenye marupurupu kedekede kama box la north korea.
 
But iko empty kabisa
Kwa picha unaweza ukadhani barabara ni empty,lakini ninavowajua
wa-north Korea walivo watu wa machale machale,hiyo barabara ina security checkpoint za kufa mtu.

halafu ukute kule milimani kuna vi-sniper vimekaa na vi-binocular vyao kufatilia kila nyendo za magari na watembea kwa miguu.

Kiufupi hiki kinchi kipo alert kivita massa 24.hatari mkuu
3ac176d3c5dacd141cfd58e22892855b.jpg
 
Mkuu,
Mimi nipo hapa chagang province huu mwaka wa sita saa hivi.
Na asikwambie mtu,hakuna box tamu na lenye marupurupu kedekede kama box la north korea.

ivi ubalozi wa north korea tz upo, au upo nchi gani ya karibu!
 
utaratibu wa VISA ya kwenda huko please nimepapenda sana
 
Back
Top Bottom