A purge

A purge

Damu ya Lissu haitaacha mtu salama! Soon wataumbuana tu

Only time will tell.........
 
All is not well within the ruling CCM.

The ‘new guard’ is viciously hitting back and shows no signs of letting up.

We’ve now heard from a couple MPs and other surrogates who are in team ‘new guard’. They are not playing

So, is a purge in the offing here?

Will the old guard be forced to eat crow and apologize in public or will they stand their ground and effectively trigger their purge from the only political party they’ve belonged to?

Either way, fire and brimstone will befall someone.

The saga continues.....
If Tanzanians were smart enough , they wouldnt agree to be under CCM rule up to this point. What CCM has done so far to this poor country was enough to remove them from power but thanks to our education system for keeping on producing foolish people of all walks of life who cant say a word on whatever wreakless CCM does.

Ccm is a trash.
 
This purge is a phase that the party is going through just like many before and many to come...it s normal, signifying changes about to happen...conflicts must occur for changes to happen...for better for worse
 
It hasn’t happened, though...
 
If Tanzanians were smart enough , they wouldnt agree to be under CCM rule up to this point. What CCM has done so far to this poor country was enough to remove them from power but thanks to our education system for keeping on producing foolish people of all walks of life who cant say a word on whatever wreakless CCM does.

Ccm is a trash.
Man,
Kama CCM ikitoka nani anaweza kuziba pengo,
Tz let's be honest, vyama vya upinzani havijawa na resourceful people kuchukua nafasi kuongoza Taifa.

Huu ni ukweli mchungu kuumeza. Fikiria 2015 akaja mgombea toka CCM EL, CDM ikamtelekeza Dr. Slaa just by accepting a little cash into their bank accounts.
Viongozi kama hao wapewe nchi wakae IKULU, wadhibiti hazina, madini, maliasili, wataweza kweli????

Mzee Sabodo alitoa mil 100 mwaka 2010 akaomba watumie kujenga ofisi, mpaka leo hakuna hata site yenye tofali za msingi; hawakuweza kuwa accountable kutumia hela kujengea ofisi, how can you trust such people to manage the wealthiest country like Tanzania if at all they have proven failure to manage few funds.

CUF ndiyo ishakufa wanagombania Cash na madaraka. NCCR walikufa wanagombania cash za ruzuku.

CCM inaweza kuwa na liabilities kama taasisi yoyote ila ina assets nyingi kama taasisi. So net-worth ya CCM inakuwa +ve.

Ni ngumu chama ambacho hakijajitambua na kushindwa ku-manage mambo yake ya ndani kuaminika ku-manage Watanzania mil 60 na utajiri wa nchi hii.
Hoja yako yaweza kuwa nzuri ila ni hatari kuwapa watu walafi stewardship ya kungoza Watanzania na kutumia mali za Watanzania.

CCM ina watu wazuri kama JPM, japo huenda mifumo ya kupata viongozi ambao ni creative na innovative wa kutumia raw materials za nchi hii na kuzigeuza kwa trillions of cash haijakaa sawa.
Bado wakubwa wa nchi hii toka Mwl, wamekuwa wakipata baadhi ya sub-ordinates katika key post ambao ni wapigaji ila huwezi kulinganisha na hao wanaojiita wapinzani. Maana hatujui wanasimamia nini.

Mwisho, tuwaombe vijana wa mzee watafute Watanzania wenye leadership quotient na strategic economic Quotient ambao watakuja na suluhisho la namna gani tuuze pamba kama nyuzi na vitambaa ikitokea Tz tupate forex.
Namna gani tuuze finished products za korosho tokea Tz tupate forex, binafsi nawajua some ila sijui kama "vijana wa mzee" wana mechanism za ku-scout potentials kama hizo, sijui. It just need strategic IQ na sio buz as usual

Mungu Ibariki Tz
 
Please avoid being short-sighted. The current French president wasnt in the bigger picture of French politics but he became a president of one of the most powerful country in the world.

What makes you think that the only political party to takeover after the CCM demise should be chadema while we have a no. of registered political parties in the country.
 
Huu ni ukweli mchungu!.
Kwa ruhusa yako, naomba kuitumia post yako hii kama mbegu kuoteshea bandiko langu fulani, na kuzitumia hoja zako kulirutubisha.

P.
 
Please avoid being short-sighted. The current French president wasnt in the bigger picture of French politics but he became a president of one of the most powerful country in the world.

What makes you think that the only political party to takeover after the CCM demise should be chadema while we have a no. of registered political parties in the country.
Let's be realist Mtanzania mwanzangu. Frence imepata rais kijana kabisa na hakuwa na uzoefu mkubwa kama wa EL kwa mfano kwa muda aliokaa katika siasa.
Barack Obama amekuwa US Senator kipindi kimoja tu, then akawa Prezda miaka 8.
Tofauti ya wenzetu wana mifumo iko very organized ni rahisi hata wewe ukipewa kuwa kiongozi ukafanya vyema.

Kwetu hapa mifumo mingi hako supportive kitu ambacho kwa taasisi change hazina man power.

Nimekuwa mfano CDM, ilionekana taasisi ambayo ingweweza kuaminiwa kuchukua nchi Dr. Slaa kama mshika bendera. Cha ajabu dakika za mwisho gia ikabadilishwa angani, wakaja akina Masha, Kingunge, Mabere Marando, Balozi Mwapachu. Unajiuliza kama taasisi hii ilikuwa imara inakuwa inasubiri mamluki kuja kuchukua bendera mtu ambae hakuwa na historia ya kujenga taasisi anayopeperusha bendera.
What if watu kama hao wakabadili gia angani pengine wakaja na jambo ambalo halina tija kwa Watanzania.

Labda kuna namna inawezekana wakapatikana Watanzania nje ya CCM kama watakuwa na vision ambayo ni jumuishi na watu wako tayari kuipigani.
Martin Luther King Jr aliwa visionary
Mahatma Gandhi likewise.
Wote hawa watu waliwafuata kwa vision ambayo ilikuwa inawagusa wao na watu waliwapigania kwa maana vision yao ilikuwa connected na kugusa Maisha ya watu.

Kwa hawa wapinzani labda ni long rangers, vision yao ni nini na nani anaifahamu ili Watanzania waiamini???
 
Sijuwi kwanini watu wanatoka jasho with this small matter, CCM has been in worse situations many times before, and they know the meaning of forgiveness. They forgave so many members in the past Kambona, Mrema, Lowassa, Seif Sharif Hamad to name the few.. Labda wengi wenu hamkumbuki, Mrema's saga when pulled the plug on CCM, even Nyerere couldn't sit still in his chair, he had to intervene and he failed to change Mrema's mind. My prediction all will be over by the time we finishes with local elections.
Labda sielewi...hapa nani anatakiwa asamehewe? Kwa kosa gani?
Damu ya Lissu haitaacha mtu salama! Soon wataumbuana tu. Only time will tell...
Na ndio maana sisi wengine tumekaa tumetulia...it is time and this time whatever's under the carpet will be exposed for all to see whether they want it or not! Wezi wanapokezana mali zetu (kodi zetu) utadhani ni urithi...wakitoka wezi hawa wanaingia wengine kwa mbinu tofauti.
 
Let's be realist Mtanzania mwanzangu. Frence imepata rais kijana kabisa na hakuwa na uzoefu mkubwa kama wa EL kwa mfano kwa muda aliokaa katika siasa.
Barack Obama amekuwa US Senator kipindi kimoja tu, then akawa Prezda miaka 8.
Tofauti ya wenzetu wana mifumo iko very organized ni rahisi hata wewe ukipewa kuwa kiongozi ukafanya vyema.

Kwetu hapa mifumo mingi hako supportive kitu ambacho kwa taasisi change hazina man power.

Nimekuwa mfano CDM, ilionekana taasisi ambayo ingweweza kuaminiwa kuchukua nchi Dr. Slaa kama mshika bendera. Cha ajabu dakika za mwisho gia ikabadilishwa angani, wakaja akina Masha, Kingunge, Mabere Marando, Balozi Mwapachu. Unajiuliza kama taasisi hii ilikuwa imara inakuwa inasubiri mamluki kuja kuchukua bendera mtu ambae hakuwa na historia ya kujenga taasisi anayopeperusha bendera.
What if watu kama hao wakabadili gia angani pengine wakaja na jambo ambalo halina tija kwa Watanzania.

Labda kuna namna inawezekana wakapatikana Watanzania nje ya CCM kama watakuwa na vision ambayo ni jumuishi na watu wako tayari kuipigani.
Martin Luther King Jr aliwa visionary
Mahatma Gandhi likewise.
Wote hawa watu waliwafuata kwa vision ambayo ilikuwa inawagusa wao na watu waliwapigania kwa maana vision yao ilikuwa connected na kugusa Maisha ya watu.

Kwa hawa wapinzani labda ni long rangers, vision yao ni nini na nani anaifahamu ili Watanzania waiamini???
Kwa hiyo bongo serikali ni kama genge la masela kwamba hakuna rules na regulation zinaongoza uwepo wa leadership ethics kama ilivyo Usa au france.
 
Labda sielewi...hapa nani anatakiwa asamehewe? Kwa kosa gani?
Na ndio maana sisi wengine tumekaa tumetulia...it is time and this time whatever's under the carpet will be exposed for all to see whether they want it or not! Wezi wanapokezana mali zetu (kodi zetu) utadhani ni urithi...wakitoka wezi hawa wanaingia wengine kwa mbinu tofauti.
Halafu wezi wa sasa wamejipa jina la wazalendo. Uzalendo my foot.
 
Kwa hiyo bongo serikali ni kama genge la masela kwamba hakuna rules na regulation zinaongoza uwepo wa leadership ethics kama ilivyo Usa au france.
Sijasema hilo, ila kuna some few people who were entrusted nationals kukalia viti vya kuwatumikia Watanzania na wasomi wakubwa yet wakatuingiza chaka kinamna.

Ila tunashukuru kwa sasa yupo JPM ambae ni mzalendo wa kwenye. Na anajaribu kuchukuwa watu ambao wana assets nyingi vs liabilities. Credibility ya kiongozi yeyote ipo katika net-worth yake.

Bahati mbaya watu kama hao huwa wanapigwa vita na wenzao ambao ni walafi na madalali wa wakoloni
 
Back
Top Bottom