A picture with deep meaning

A picture with deep meaning

2096aa876cd65a9f5f065d4a5682486e.jpg
Mwisho wa siku, huto weza kumtambua dini, rangi, hali ya kiuchumi mtu yeyote ambaye aliishi hapa dunian nasasa amabakia mifupa

Awe tajiri, maskini, dini zote.... wote watabaki mifupa

Ndo nimeelewa hivyo
 
wote ni sawa but hiyo picha ukiitilia mkazo sana,itakudumaza usipige hatua kimaendeleo.
Hata Yesu/mtume Muhammad walikua hivyo ila hatuwezi kusema walikua na sawa na wewe mkuu.

Acha fikra mgando.
kuwa na mtizamo chanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom