A picture with deep meaning

That Gentleman

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
2,206
3,647
2096aa876cd65a9f5f065d4a5682486e.jpg
 
Ahahaha nadhani anafikiri Wakristo ni tofauti na binadam wengine.
kuna mahali mtakua hamjaelewa.. Kwa uelewa wangu baada ya kuitazama kwa wa haraka haraka. aliyechora/tengeneza hiyo pic atakua ni mhindi wa kule India kabisa..

kule kuna upinzani na ubaguzi mkubwa kulingana na hali kama zilivyoonyeshwa hapo.. Ukristo ni kitu kidogo sana (ni kama Hamna)
so upinzani (Ubaguzi) ulio mkubwa wa kidini ni kati ya Hindu na Waislam

ndio maana hujaona ukristo haupo hapo..

that is what I understand
 
Wewe ndo hujaelewa, Skeleton zote hizo zinafanana yaani ukifa wewe black na white skeletons zenu huwezi tofautisha, masikini na tajiri( rich &poor) wote Sawa, skeleton ya Hamorapa na Alikiba( ugly & Handsome) sawaaa na skeleton ya mtu wa Dini yoyote haiwezi kumtofautisha na nyingine hapo katolea mfano Hindu & Muslim Siyo lazima kuweka dini zote mana zinafika 1000...
 
Wewe ndo hujaelewa, Skeleton zote hizo zinafanana yaani ukifa wewe black na white skeletons zao huwezi tofautisha, masikini na tajiri( rich &poor) wote Sawa, skeleton ya Hamorapa na Alikiba( ugly & Handsome) sawaaa na skeleton ya mtu wa Dini yoyote haiwezi kumtofautisha na nyingine hapo katolea mfano Hindu & Islam. Siyo lazima kuweka dini zote mana zinafika 1000...
Pamoja mkuu, nami ndivyo nilivyoelewa
 
Wewe ndo hujaelewa, Skeleton zote hizo zinafanana yaani ukifa wewe black na white skeletons zenu huwezi tofautisha, masikini na tajiri( rich &poor) wote Sawa, skeleton ya Hamorapa na Alikiba( ugly & Handsome) sawaaa na skeleton ya mtu wa Dini yoyote haiwezi kumtofautisha na nyingine hapo katolea mfano Hindu & Muslim Siyo lazima kuweka dini zote mana zinafika 1000...
100% true, hiki ndicho nilichomaanisha. Sote tuko sawa
 
Hi picha ina maana kubwa watu hawajaelewa
Picha inajieleza kwamba Black peole are ugly - watu weusi wana sura mbaya
white people are handsome -watu weupe wana sura nzuri
Hindu are rich -wahindu ni matajiri
Muslim are poor -waislam ni maskini.
 
Back
Top Bottom