Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,201
Huna tofauti na wapumbavu wengine,hufananii kuwa plzt kulalaleki🤕Pole sana. Kama nawe ni mtoto wa dada au mjomba, lazima utakuwa umeumia sana tu. Lakini usijali sana maisha ndivyo yalivyo.
Kwa kuwa bado u kijana mdogo, usikate tamaa, bahati inaweza ikakugongea hodi tena na ukaweza kubahatisha na kababa mdogo.