A picture is worth a thousand words! Is this shame, shock, anger or guilt? You be the judge!

Pole sana. Kama nawe ni mtoto wa dada au mjomba, lazima utakuwa umeumia sana tu. Lakini usijali sana maisha ndivyo yalivyo.

Kwa kuwa bado u kijana mdogo, usikate tamaa, bahati inaweza ikakugongea hodi tena na ukaweza kubahatisha na kababa mdogo.
Huna tofauti na wapumbavu wengine,hufananii kuwa plzt kulalaleki🤕
 
Huna tofauti na wapumbavu wengine,hufananii kuwa plzt kulalaleki🤕
Na kweli umeumia kijana na nazidi kukupa pole. Umemuona Kakurwa hapo juu, nadhani yeye kaumia zaidi yako. Kwa hiyo endelea kukaza moyo, wapo walioumia zaidi yako. Dunia mviringo bwana mdogo!
 
It seems there is something hidden, the so called suspected guilter
1.pic no 1. Critical think how it could be.
2.pic no 2. Expect something by connecting dots...if already known
Ni mtizamo tu yawezekana sio, ingawa pic. No 2 inaonesha muambiwaji ni mwingine ila the suspected guilter alijitokeza accidentally o/o his position /title.
Hata hivyo yawezekana pia Mh. Rais alikuwa ana brief the way forward as far as reports, but waambiwaji :-
1.mmoja anasikitika sana kwa yaliyokuwa yanafanyika.
2.mwingine anatabasamu ama kwa kukubalia namna ya utatuzi/anachekea moyoni kuwa kinachozunguzwa hakiwezekani.
 
Bashiru anatamani hata ainame amsujudu huyu Mama.Tatizo huyu mama ni binadamu tofauti na malaika aliepita.
 
Usiumize kichwa kichomiz, kwa hakika hayo majizi yamekamatika kweli kweli. Picha haijawahi kusema uongo, ukikalia kiti chenye moto lazima tu uteseke. Hebu tazama na haya yalivyo na usongo wa mawazo...

majaliwa.jpg
CCMgang.jpg

Shock, shame, anger, guilt or something else!​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom