A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 
Huwezi amini ile janja ya kuteka waisraeli nakuua hao watoto ilikua ni njama ya israel ili wapate sababu ya kuipiga gaza maana wamekaaa muda mrefu na walikua wabataka kujua ni silaaa gAni walizo nazo hamas maana hanas walikana kuhisika na utekaji ule
Tumewsazoea sasa, wakati mnaua mnasema ALLAH AKBAR, lakini baadae mnasema hao ni CIA, hizo propaganda mnafundishwa na majini?
Naona umefurahi rafiki zako kuuwa watoto wachanga! kumbe hivi ndivyo imani yako inavyo kufundisha!! teeh, teeh! Duuh! iko kazi....
Sawa nakwenda kukojoa, lakini niambie ISIL huko Iraq wanaua watu na kuongeza mayatima, na baada ya hapo wanagawa QURAN mtaani, mbona hao uwaoni?
Hebu niambie ukweli, Hitler aliongeza idadi ya mayatima duniani au hakuongeza?
Hapo kauawa mtoto mchanga au baba wa mtoto?
Mara nyingi yanatokea mashambulio ya ALLAH lakini hamtoki mkakemea. Westgate watu wameuawa lakini mkafurahi, lakini darubini yako leo imeona Israel kirahisi kuliko Kenya
Nani amekwambia kwamba mgogoro huu ni complicated? sio complicated wala nini, hao ni wazungu kutoka Europe wameitawala Palestine kwa mabavu kwa msaada wa USA na Europe.
Wee criminal endelea kuwashangilia ma criminals wenzako. Usisahau kwamba Mungu yupo na anasikia na anaona.
Sio kweli. Hao ndio wavamizi. The land is the land of Israel. The promise land.
The king.
Acha uongo bro, pia usisahau kwamba Palestine imetawaliwa na wakoloni.
Wapo katika vita vya kupigania uhuru wa inchi yao.
Mimi siungi mkono wapelestina wasio na hatia kuuawa. Tatizo langu ni jinsi mnavyokuwa na kielehele pale wanapouawa wapalestina lakini al shaabab na boko haram wakiuwa kwa jina la ALLAH mnashangilia
Hebu niambie ukweli, Hitler aliongeza idadi ya mayatima au hakuongeza? Nani aliongeza mayatima wengi hao ISIL au Hitler? sema kweli.
Aliongeza, na ndio maana mpaka leo ukionesha ishara ya Hitler kwa baadhi ya nchi unachukuliwa hatua. Pia mauaji ya Hitler ilikuwa ni siasa na siyo kwa Jina la ALLAH kama mnavyofanya nyie
A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 
Wewe ni mkristo unaefurahia MAUWAJI YA WATOTO WACHANGA!
Ndivyo imani yako inavyokufundisha! Kufurahia mauwaji ya watoto wadogo!
Umeshahau kuwa ni hao hao waliomsulubu mungu wako!
Ama kweli kondoo ni kondoo tu!
tumia busara japo kidogo. Israel wanapiga sehemu ambazo makombora yanarushwa kwao. kwa nini Hamas warushe makombora tokea sehemu za makazi ya raia ?
Acha ubaguzi na uongo wee, akiua mkristo siasa lakini akiua Muislamu sio siasa, Teeh! Teeh! Duuh! Usisahau kwamba Mungu yupo (na haki ya mtu haipotei).
Haya ndio matatizo ya makafiri!
Hapa kila kitu kinakwenda kwa USHAHIDI tena UMEWEKEWA NA PCHA!
Hebu na wewe tupe ushahidi wa Hao Waislamu kuuwa WATOTO WA KIYAHUDI 900!
Basi nyie kuropoka pia mmegeuza ibada?
Duhh!