FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
dah..........namuonea wivu kwa kweli......
watu mna raha wa kwangu hata sijui yuko wapi sasa ,simu hapokei .lol kutesa kwa zamu
i wish na kwangu ingekuwa ivo... Lucky you! Happy new year
natamani pm yako japo moja tu firstlady lol
dah..........namuonea wivu kwa kweli......
natamani pm yako japo moja tu firstlady lol
Unatamani Pm isemeje The Boss?
ifanane na hii thread.....
PM-Love waits for the right moment. My right moment is with you.
mama wa kwanza mhusika ameshaona hii?
Nwy hongereni na heri ya mwaka mpya.mwakani uwe na hisia zinazofanana na hizi.