endelea na ufisadi wako wakati wengine tukiandaa miziki mipya hapa JF kama kawa! mission yako uliyoanza nayo ya "kupambana na mwanakijiji" naona imekushinda na sasa unajaribu kuleta sindimba kwenye ndombolo! msalimie Jiitu Patel!
festog, huyu analipwa na jiitu patel kusafisha uozo wa serikali na usitegemee kuwa hata hii issue ya ATC kwake ni tatizo! Yeye hapa yuko kwenye mission ila alisahau kuwa MWK is here kupambana na mafisadi kila wanapojitokeza hapa JF