A Million Dollar Question...


Kazi pekee inayoweza kufanywa na chadema ni kuifanya CCM isijisahau.

Chadema haina uwezo wa kuongoza nchi...
 
Ben Saa nane knows more than we can imagine.
The boy can be a key witness in this case.

Tatizo ni kwamba dogo Saanane alishakiri kuwa alitaka kumpa sumu Zitto. Katika hali kama hiyo anachotakiwa kufanya ni kutoa maelezo tu kuwa hiyo sumu kapewa na nani kwa malengo gani na iwapo kuna mtu mwingine waliyewahi kumdhuru...
 

Kwahiyo tutegemee list itakuwa ndefu sana.
Hapa werevu wataelewa kwanini dr. Slaa alijitoa kimasomaso kumtetea Lwakatare kabla hajajua anashtakiwa kwa kosa gani!!!
 
Magwanda wamejificha
kwa aibu. Wamepigwa na butwaa. Walikuwa hawajui kuwa kuna sumu kali
imekutwa kwenye ofisi za chama cha siasa.

kumbe Lwakatare aliwapeleka makao makuu kuchukua sumu
 
Naona akili yako imekataa kabisa kukubali kuwa Lwakatare ni mtu hatari kwa taifa.

Hatari kuliko nani?! Watu hatari na wanaofahamika wako mtaani wanadunda..mpaka hizi double standards zitakapo ondolewa ndipo uje na huo msemo wako..!
 
Tatizo ni kwamba dogo Saanane alishakiri kuwa alitaka kumpa sumu Zitto. Katika hali kama hiyo anachotakiwa kufanya ni kutoa maelezo tu kuwa hiyo sumu kapewa na nani kwa malengo gani na iwapo kuna mtu mwingine waliyewahi kumdhuru...
Wewe ngoja wamfate,atataja watu kabla ya kufika hata kituoni.
 
Hatari kuliko nani?! Watu hatari na wanaofahamika wako mtaani wanadunda..mpaka hizi double standards zitakapo ondolewa ndipo uje na huo msemo wako..!

Double standards hazifai. Lakini sio at least tunaona kuna wahalifu wanashughulikiwa. Swali lilipo ni je, kijana aliyekiri kutaka kumpa sumu Zitto atatajwa mahakamani?

Viongozi wa chama cha siasa wanaotumia sumu kujikita madarakani ni hatari kuliko bomu la nyuklia. Wangepewa nchi hawa ingekuwaa balaa...
 

Nina mifano hai, watu wengi waliaocha kazi jeshi/polisi huishia kuwa majambazi mtaani. Mkuu hebu nieleweshe procedure za kuacha kazi jeshi/polisi. Nijuavyo mimi mpaka ufukuzwe au utoroke na ukipatikana unakamatwa!. Nisaidie mkuu, maana wengi wanataka kuacha hii kazi wanashindwa.
 
vijana wa Lumumba naona mnachapa kazi, payroll next week....justify.
 
Sijui ni Episode yenu ya ngapi? Ila inaonyesha mmetayarishwa vizuri kufanikisha hujuma kwa misingi ya dhulma. Kinachowasumbua na ambacho hamna uwezo nacho ni KUDHULUMU NA KUHUJUMU HAKI. Tabia ya kutafuta haki iko hivi; anapoanguka mmoja kwenye mapambano mamia wapya wanakanyaga mwili wake (wanazika) wanasonga mbele

Kwa wapambanaji haki haiombwi bali inatafutwa kwa kila mbinu HADI IPATIKANE. Kwa bahati nzuri utambuzi wa nani ni adui umekamilika kwa hiyo sasa ni mapambano iwe hapa kwenye keyboard, kwenye board room au nyikani. SIKU ZOTE MWENYE HAKI ATASHINDA
 
Naona akili yako imekataa kabisa kukubali kuwa Lwakatare ni mtu hatari kwa taifa.
S
Sijakataa ila pia sijakubali, nawashangaa Nyie akili za Samaki ambao tayar mmesha Jump into Conclusion.Tukiwaita Wachumia Tumbo na Waganga Njaa kama sio wendawazimu, mnasema tunawatukana.
Mwenzako ZeMarcopolo anaelewelewa nini namaanisaha, na nilikuwa against nae since Ilboru
 
Last edited by a moderator:
Cops wangekua nazo hawangetegemea kupewa amri(Kukasimu kufikiri) kwa maafande wao. Sasa nakuelewa
 
Ze Marcopolo, hivi b4 hii issue ya lwakatare ulishawahi kuongelea haya mambo ya sumu hap jf au ndiyo umepata upenyo wa kusema baada ya lwakatare kufikishwa kizimbani
 
Kazi pekee inayoweza kufanywa na chadema ni kuifanya CCM isijisahau.

Chadema haina uwezo wa kuongoza nchi...
Kwa vipimo vyako vya Div 0 na vya Baba Mwanasha mna uwezo wa kuongoza nchi ili hali tunazungumza "failures" (si za ungozi ambao haupo bali utawala wa vifuu vya nazi). Soma vizuri hoja yako na uelewe watu wanaielewaje
 
Mungu wetu huwa hafichi wanafiki,ccm wameimba nyimbozote zina kataa sasa wanajariibu hii, subiri watakapo angukia pua chademama itapaa hawaitaikamata tena sijui wataimba wimbogani tena maana zote zimeisha
 
ze marcopolo, nimejaribu kusoma sana huu uzi na comment zako nikagundua wewe umetumwa, haiwezekani ulete uzi halafu wewe ndiyo unabishana na comments nyingine na ku-defend hoja yako kwa 99%.

Kwanini usiweke hoja hapo na ukaacha watu wachangie??? £ Trillion question on U! !

Kama mlivyofanya/mlivyoitumia jf iwe ndiyo chombo cha kukamatia watu through those fixation naona na wewe umeamua kutengeneza yako, sasa wa kukamatwa wa kwanza ni wewe kwa sababu inaonekana kuna mambo mliyokuwa mnayafanya na mnaendelea kuyafanya.

Ukikamatwa wewe utasaidia au utaweza kusaidia only IF kutakuwa na upelelezi wa kweli otherwise ni walewale/yaleyale ya Dr. Uli
 
Naona umevimbiwa mkuu ze makopo.Ndo matokeo ya posho za lumumba haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…