Udaku huu sasa. Hawezi kuwa richer than Tanzania atakufa masikini na Tanzania itaendelea kutesa. LOL
Maneno ya mkosaji, tukubali tu hilo tusi, tujipange, tusifukiefukie!
Mkuu huyo jamaa na fedha zake hawezi hata kununua ardhi ya kutosha kuwaweka Watanzania humo ndani let alone kuwalisha. Are you kidding me?
kwani wao wamesema hivyo , kwenye hilo gazeti, huoni kuwa wewe ndio unasema hivi,
wao wameangalia bajeti yetu na kuangalia fedha zake, wametoa ku-conclusion thats all! haihitaji analysis ya degree
Ninachokuelewa wewe ni kuwa hawezi kufanya hivyo na ni kweli hawezi kwa sababu bajeti ya tanzania haikidhi mahitaji yote ya watanzania, kama bajeti inavyotakiwa iwe!
wao forbes kutokujua hilo, wameeleza tu kiasi cha bajeti ya nchi yetu!
so hilo gazeti wako sahihi based on information from our budget, WEWE uko sahihi kwa sababu ni mtanzania unayeujua ukweli!
ukweli ni kuwa bajeti yetu hai-reflect au kukidhi haja ya watanzania, NA ndiyo alama ya umaskini wenyewe!
Hapo ni kuchanganya mambo. Huwezi kulinganisha networth na GDP au Government expenditure then ukaconclude jamaa ni rich kuliko Tanzania. Pia kumbukeni networth haihusishi cash in hand maana ukizungumzia budget ya Tanzania unazungumzia cash collection ya mwaka mzima unaweka assets pembeni. Sasa ukiivalue Tanzania huyo jamaa ni mdogo saana. Kwahiyo tunapaswa tuelewe networth tunafocus kwenye net ya assets na liabilities ambayo hailinganishiki na nchi maana km unaweza uanze kuvalue kila kitu then liabilities ndiyo useme.kwani wao wamesema hivyo , kwenye hilo gazeti, huoni kuwa wewe ndio unasema hivi,
wao wameangalia bajeti yetu na kuangalia fedha zake, wametoa ku-conclusion thats all! haihitaji analysis ya degree
Ninachokuelewa wewe ni kuwa hawezi kufanya hivyo na ni kweli hawezi kwa sababu bajeti ya tanzania haikidhi mahitaji yote ya watanzania, kama bajeti inavyotakiwa iwe!
wao forbes kutokujua hilo, wameeleza tu kiasi cha bajeti ya nchi yetu!
so hilo gazeti wako sahihi based on information from our budget, WEWE uko sahihi kwa sababu ni mtanzania unayeujua ukweli!
ukweli ni kuwa bajeti yetu hai-reflect au kukidhi haja ya watanzania, NA ndiyo alama ya umaskini wenyewe!
Hapo ni kuchanganya mambo. Huwezi kulinganisha networth na GDP au Government expenditure then ukaconclude jamaa ni rich kuliko Tanzania. Pia kumbukeni networth haihusishi cash in hand maana ukizungumzia budget ya Tanzania unazungumzia cash collection ya mwaka mzima unaweka assets pembeni. Sasa ukiivalue Tanzania huyo jamaa ni mdogo saana. Kwahiyo tunapaswa tuelewe networth tunafocus kwenye net ya assets na liabilities ambayo hailinganishiki na nchi maana km unaweza uanze kuvalue kila kitu then liabilities ndiyo useme.
Kiranga, hapo juu unasema upotashaji then chini nawe unarudi ulipotoka. Inakuwaje? Hivyo vitu havifanani wazungumzie networth to networth. Kumbuka networth ni cummulatively yaani ni kwa kipindi fulani. Halafu inainvolve vitu vingi saana. Uandishi kama huo unapendeza kwenye udaku maana ukiangalia title ya makala na wanataka kuifanya ishu wakati ni upotoshaji kabisa.Kusema kwamba Slim ni richer than Tanzania ni upotoshaji, ignorance au vyote.
Elewa tofauti ya net worth na GDP.
Ingawa ukweli kwamba kuna watu wana net worth iliyo kubwa kuliko GDP ya nchi yetu ni kashfa.
Kiranga, hapo juu unasema upotashaji then chini nawe unarudi ulipotoka. Inakuwaje? Hivyo vitu havifanani wazungumzie networth to networth. Kumbuka networth ni cummulatively yaani ni kwa kipindi fulani. Halafu inainvolve vitu vingi saana. Uandishi kama huo unapendeza kwenye udaku maana ukiangalia title ya makala na wanataka kuifanya ishu wakati ni upotoshaji kabisa.
Kusema kwamba Slim ni richer than Tanzania ni upotoshaji, ignorance au vyote.
Elewa tofauti ya net worth na GDP.
Ingawa ukweli kwamba kuna watu wana net worth iliyo kubwa kuliko GDP ya nchi yetu ni kashfa.
Sijarudia upotoshaji.
Huyu Slim hela zake zote ndiyo hizo bilioni hamsini na kitu, hizo ni hela / mali zake zote.
Bilioni hamsini T.Sh. au USD?
By the way GDP inapima nini? Is it realistic?
Mexican tycoon Carlos Slim was on Wednesday named the world's richest person, with a net fortune of $53.5 billion (Sh70 trillion), which is more than twice Tanzania's GDP of $24 billion (Sh31.1 trillion).
Hapo ni kuchanganya mambo. Huwezi kulinganisha networth na GDP au Government expenditure then ukaconclude jamaa ni rich kuliko Tanzania. Pia kumbukeni networth haihusishi cash in hand maana ukizungumzia budget ya Tanzania unazungumzia cash collection ya mwaka mzima unaweka assets pembeni. Sasa ukiivalue Tanzania huyo jamaa ni mdogo saana. Kwahiyo tunapaswa tuelewe networth tunafocus kwenye net ya assets na liabilities ambayo hailinganishiki na nchi maana km unaweza uanze kuvalue kila kitu then liabilities ndiyo useme.
Hapo kwenye bold bado sio explanation ya networth. Maana networth si lazima ifanane iitwe pesa yake yoote. Pesa yake haifanani na networth. Hili ni tatizo kubwa kuconclude pesa yake ndiyo networth. Maana ni pamoja na assets ambazo kuna measurement kama fair value nk. Ambayo over the recent imekuwa ni tatizo na ndio kiini cha crisis. Tuache pesa ziwe pesa na networth zibaki hivyoSijarudia upotoshaji.
Nimesema
Elewa tofauti ya Net worth na GDP.Hii ni point muhimu sana.
Huyu Slim hela zake zote ndiyo hizo bilioni hamsini na kitu, hizo ni hela / mali zake zote.
Tanzania GDP yetu (uzalishaji wa nchi kwa mwaka mmoja tu) ndiyo takribani nusu yake.
Sasa kusema Slim ni tajiri mara mbili ya Tanzania ni sawasawa tuchukue mali zako zote, tuseme dola milioni moja, halafu tuzilinganishe na mshahara wangu wa mwaka mmoja, dola laki tano, halafu tukasema wewe ni tajiri mara mbili yangu. Wakati wewe umetumia miaka 60 kupata dola milioni moja na mimi nimepata dola laki tano katika mwaka mmoja tu.
Lakini kwa kuelewa kwamba Slim ni mtu mmoja, nikaona kurekebisha facts huku kusichukuliwe kama niko complacent na umasikini wetu.
Kwa sababu hata kama habari ingekuwa kwamba kuna Mmexico huko ana mihela na mali alizo accumulate maisha yake yote ambazo zina net worth iliyo twice our GDP, bado ni habari mbaya.
Kwa hiyo hamna contradiction wala upotoshaji hapo.
Si kweli kwamba Slim ni twice as rich as Tanzania kama nilivyofafanua katika hiyo posti ndefu hapo juu.
Lakini ukweli huu usitufumbe macho tukaona sawa mtu mmoja kuwa na net worth iliyo twice our GDP. Ukitaka kuudharau ukweli huu just because perspective inayoongelewa haijacompare GDP kwa GDP au net worth kwa net worth, wewe ndiye utakuwa unapotosha.
Hapo kwenye bold bado sio explanation ya networth. Maana networth si lazima ifanane iitwe pesa yake yoote. Pesa yake haifanani na networth. Hili ni tatizo kubwa kuconclude pesa yake ndiyo networth. Maana ni pamoja na assets ambazo kuna measurement kama fair value nk. Ambayo over the recent imekuwa ni tatizo na ndio kiini cha crisis. Tuache pesa ziwe pesa na networth zibaki hivyo
Ha ha ha ha Hamna haja ya kuandika hasira, tujadiliane kwa hoja. Assets; long term and short term basis. Mfano wa short term basis ni cash, receivables, inventories etc. Hakuna haja ya kustress kwenye cash unapozungumzia networth. Ukweli ni kwamba casha mara nyingi unless kwenye financial institutions zinakuwa ni components ndogo saana. Ninasisitiza tu kwamba networth is merely the difference btn assets and liabilities. Ndiyo tafsiri hasa ya networth. Kwahiyo kupigia mstari pesa/mali bado hujaisema ndiyo networth. Tuendelee kuelemishanaUnaondoka kwenye subject matter, una deviate kwenye nitty-gritties sasa.Nitakuonyesha kwamba huwezi subject matter wala nitty-gritties.
Wewe unajua kusoma kweli? Au kiherehere tu?
Hapo hapo ulipotilia mkazo kwa rangi nyekundu umeona nilipoandika "pesa /mali"
Sasa unataka kujiaibisha zaidi siyo?
Unatoa objection kwamba net worth si pesa / mali bali ni cash/ asset.
Unataka kutuambia tofauti ya mali na asset sasa?
Taratibu, soma kwanza kabla ya kukurupuka.
Ha ha ha ha Hamna haja ya kuandika hasira, tujadiliane kwa hoja. Assets; long term and short term basis. Mfano wa short term basis ni cash, receivables, inventories etc. Hakuna haja ya kustress kwenye cash unapozungumzia networth. Ukweli ni kwamba casha mara nyingi unless kwenye financial institutions zinakuwa ni components ndogo saana. Ninasisitiza tu kwamba networth is merely the difference btn assets and liabilities. Ndiyo tafsiri hasa ya networth. Kwahiyo kupigia mstari pesa/mali bado hujaisema ndiyo networth. Tuendelee kuelemishana