A message to my Ex!

Pole Zuriel_cfc,
Najaribu kupata hisia za how you feel, infact inaumiza...!!

Ila hongera sana kwa hiko ulichokifanya, hakika kinaonyesha ni jinsi gani, ulivyo matured enough!!

Naomba nikutakie kila la kheri, katika safari yako mpya uliopo....M/Mungu akutangulie, katika kila hatua upigayo.

Amen.
 
Asante kwa kunikumbuka mama ile mashine ni nilipata ila maisha yamekwama tangu nikuache.
 
Asante sana
 
Amepokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…