A message to my Ex!

Hongera kwa kumuacha aende!
Mpaka hapo ni dhahiri hakuwa wako, Mungu azidi kukupea nguvu na ujasiri wa kusonga mbele. Malengo yako na yatimie kama ulivyoyapanga, ukiongozwa na aliye juu!

Usichoke kumuombea, kila jambo lina sababu!
 
Mara nyingine unakaa chini na kutafakari mwisho unaona kumbe ni heri alivyokuacha,ulivyomuacha au ulivyomkosa. It's a blessing in disguise! I'm glad I let you go.

Thanks for the coment bro
 
jamaa fala kweli huyo,,,anaanzaje kwanza kukuacha?...naomba mm nije tuitanue mama ntilie yetu iwe na kiwango km cha Shishi food,,,,mm nikipika chai ww unapika vitumbua,,mm nikisonga ugali ww unakaanga dagaa km yule chawa,sema tu mm sio fundi gereji
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hongera kwa kumuacha aende!
Mpaka hapo ni dhahiri hakuwa wako, Mungu azidi kukupea nguvu na ujasiri wa kusonga mbele. Malengo yako na yatimie kama ulivyoyapanga, ukiongozwa na aliye juu!

Usichoke kumuombea, kila jambo lina sababu!
Asante sana kwa maneno ya hekima na kutia moyo my sis, barikiwa kwa viwango vya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…