Habari za siku nyingi? Naimani uko salama na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Mimi mzima kabisa wa afya ya mwili na akili..
Its been 5mnths now since u went away, haikuwa rahisi kukubaliana na ukweli kwamba ulipita, umeenda, umeniacha! Japo mpaka leo sijaelewa sababu hasa ya kwenda bila kuaga, lkn wakati mwingine nahitimisha tu kwamba "HUKUNIPENDA"! aidha ulikuwa safarini ukahitaji kituo upumzike kidogo alafu uendelee na safari, ama ulikuwa na mategemeo fulani ukayakosa, yote heri nimeshukuru.
Muhimu tu ni kwamba nimekubali matokeo, nimesonga mbele. Nilifanikiwa kurudi mjini na kufanyia kazi moja ya maengo yetu tuliyokuwa tumepanga. Nimepata sehemu nzuri nimefungua mgahawa, nimeona nianze na hii kwanza alafu baadae niweke vinywaji. [emoji4][emoji4] si mkubwa bali kwa uwezo wangu naona ni hatua aisee. Pia ule ukarabati nimefikia hatua za mwisho, Mungu akinijaalia uzima nadhani mwezi ujao itakuwa nimemaliza kabisa.
Vp wewe unaendeleaje? Umefikia wapi na mpango wako ule? Na ile mashine uliipata? Naamini Mungu wetu ni mwaminifu atakuongoza ukafanikishe kila ulilopanga, na kama tayari hongera sana sana!
Kitu nilichojifunza ni kusamehe, kukubali matokeo na kusonga mbele. Zaidi sana kuwaombea wengine. Nakushukuru kwa yote ambayo umenifunza, umenishauri na nakutakia kila lenye heri katika maisha yako na mahusiano yako mapya... uwe na usiku mwema.
Yours, zuriel!
Marahana babe, mbona jana haukuja kama tulivyo kubaliana..!!??Babe, shikamoo

Mama alirudi mapema nikashindwa kutoka babeMarahana babe, mbona jana haukuja kama tulivyo kubaliana..!!??
nishacomment ndio mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani hapa nipo kama chura.... Ngoja nipite
Ina mana ulimuacha Zuriel_cfc ukaenda kwa Zesh ama mie ndio sijaelewa?nishacomment ndio mimi.
ina maana unaniona boya mimi kweli kulwa?
Mwandiko wa mtoa mada kama unaniambia jamaa akirudi anaweza kupokelewa..Anaonekana ana huruma..Hapo ndio utajua penye miti hapana wajenzi. Binti kama huyu unamuacha kwenye mataa hivi we mwanaume umerogwa au namna gani? Samahani nimepaniki mimi wakati mwenyewe ana amani
naandalia uzi hili swali lako.Ina mana ulimuacha Zuriel_cfc ukaenda kwa Zesh ama mie ndio sijaelewa?
Inategemea, watu wapole huwa wana maamuzi magumu sanaMwandiko wa mtoa mada kama unaniambia jamaa akirudi anaweza kupokelewa..Anaonekana ana huruma..
naandalia uzi hili swali lako.
Joanah mdogo wangu hujamboHatujalelewa hivi pacha [emoji45]
nilishindwa kuvumillia.Hatujalelewa hivi pacha π
Kwanini?[emoji28][emoji28]
πππAmeshavutwa na upepo yuko njiani kuelekea mlima wa moto. Msubirini kwanza waungwana
Joanah mdogo wangu hujambo
Me too, ulienda wapi hadi troublemaker akaanza kutusumbuaSijambo my dada...miss you
Mfate Kenya.Katoto kazuri kapo kwenye Avatar..
Sijui lini nitaokota hela niwe kama Kiduku Lilo
Nimekapenda kaliopo kwenye Avatar...
[emoji83][emoji546][emoji253]