A man who loves his family

A man who loves his family

Sura sio kitu lakini. Mkwanja na class tu. Bey hapindui hapa, japo haters wana-diss regurlary
4599860-0570957832-jay-z.jpg

RRONDO nisha-show love kwa Jigga man mara kadhaa pia. Si anatuwakilisha?


Ndio hizo zone nyingine baada ya sura kubuma. . . .Kujali saana, akipiga chafya ushatoa leso, akikohoa ushashika bega . .. . .Vipi mamy umepaliwa??!!! Akienda loo simu na pochi unasogeza karibu yako kabisa kama mlinzi, akitazama chupa tu ushammiminia nusu kwa glass. . . . . .
 
I scored 19/20

I am sure wapo wa 20/20
But not me... hiyo namba sita mmeweka vitu vingi sana... wengine hawapigi wala hawaabuse but wanapiga nje japo mara moja kwa mwaka
Mngeipambanua namba sita tupate maksi zaidi

Ha ha haaa haijakaa poa sana. . . . Namba sita ina ukakasi kidogo
 
hapo ndipo ilipo siri yangu ya kuishi kwa amani na Mama D kwa miaka zaidi ya kumi. Ila kipindi hiki naona Dar inataka kuniharibu....nisamehe mke wangu!
 
Labda sio wanaume wa nchi hii itakuwa huko kwa wenzetu na kama wapo bas 2 kati ya 150
 
Mdowangu kuja huku, wew unazo 7 kati ya hzo ibra87

Dada Mimi ninazo zaidi Ya hizo Sema Wakuwa nae bado sijamuona Hapa Namfikiria Missyrose au Rubii Maana Yule Unayampigie Debe Amekuwa Kama Gogo Halichezi wala Kutingishika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom