A man who loves his family

A man who loves his family

Paulo Sergio De Souz hiv ni ma-handsome tu na ma-beauties ndio wana hizo tabia mnzuri maanake naona kwenye thread zako kuna ma hb tu....sisi wabaya mbona hatuwekwi??!!

Hahaha. Aisee hata sijawahi ku-consider hizo vitu bana. Ila nakumbuka niliwahi kusema i love beautiful women, bro.
 
Wanawake wa kibongo hawana shukrani, ukiwa good dady lazima tu wakunyooshe, wengi mwanzon walikuwa na sifa hizo ila baada ya kusoma upepo wakaona bora tu wawe wakurya tu.
 
Naomba kuongezea kitu:

Usifikiri ukioa ndo utaanza kuwa hayo yaliyotajwa. Jipime kabla hujaoa.

- Je una FINANCIAL FREEDOM/STABILITY...ukiwa huru kiuchumi utaweza kukamilisha 80% ya mambo hayo. Lakini kama huna investments (mapemaaaa kabla hujaoa) ni ngumu sana.

- Je mahusiano yako na Mungu yakoje sasa? Usidhani ukishaoa ndo utaanza kumwambia mkeo na watoto msali. Kama hukuzoea ulipokuwa mwenyewe usidhani kama utaweza ukiwa na familia (na majukumu zaidi)

KWA UFUPI TU: ukitaka kuwa hayo yaliyotajwa hapo juu...anza sasa! usisubiri mpaka uoe, mpate mchumba..etc etc...
-

100% bro.
 
Ha ha haaa ghost face haivuti "wateja" kaka, tukishajijua zone A kapa ndio tunakimbilia kuwekeza huko zone nyingine. . . . .

Sura sio kitu lakini. Mkwanja na class tu. Bey hapindui hapa, japo haters wana-diss regurlary
4599860-0570957832-jay-z.jpg

RRONDO nisha-show love kwa Jigga man mara kadhaa pia. Si anatuwakilisha?
 
Lakini sijawahi kuona picha ya sura kama zetu kwenye thread kama hizi!!! Halafu sisi wenye sura ngumu tuna huruma na roho safi kweli kweli...

Eti mna roho gani??? Ungelisha mwenzio mihogo kila siku mwisho apate kwashakoo!!
 
Hahahaaaaa! Huwa nawaza jiga angekuwa kule nanjilinji akikata mkaa angekuwaje, nawaza tu!!

Hahaha. Ndio hayupo huko sasa. Siku hizi anaongea...

I be trying to chill, ladies wanna luv me/
Every little city I go, luv me/
Shawty must’ve heard, got the word, I move that (
chill)/
Had it by a bladder, she like “oh I gotta pee”/
.............

Cha kukugunisha kwa nguvu hivyo nini?? Haya ukimaliza kucheka nijibu.

Nimemaliza kucheka.

Nimeguna nashangaa wifi anatamka hajaona baba bora loh!!!!!! nimeona nokuache tu dawa yako inachemka, arobaini yako itafika.

wed 1.jpg
 
Hongera mke wangu mtarajiwa mana utapata mume bora,mimi nina uwezo wa kufanya yote hayo.ila suala la kuwahi kurudi nyumbsni asahau siku za metch
 
hz sifa kwa wanaume wa kibongo?Sidhani km wapo na kama wapo basi ni wachache sana.
 
Hahaha. Ndio hayupo huko sasa. Siku hizi anaongea...

I be trying to chill, ladies wanna luv me/
Every little city I go, luv me/
Shawty must’ve heard, got the word, I move that (
chill)/
Had it by a bladder, she like “oh I gotta pee”/
.............

Kila mwanaume ni handthamu ujue basi tu hamjuagi hilo, handsome up guys!! Hope you know what am talking about.
 
Nimemaliza kucheka.

Nimeguna nashangaa wifi anatamka hajaona baba bora loh!!!!!! nimeona nokuache tu dawa yako inachemka, arobaini yako itafika.

View attachment 285809

Hahahaaaaaa!! Kwani wifi ulitaka kusemaje?? We mwenyewe unajua sijaona, kwahiyo walaaa hukupaswa kuguna, alafu usijifanye hujui, teh teh teh.
 
Hahahaaaaaa!! Kwani wifi ulitaka kusemaje?? We mwenyewe unajua sijaona, kwahiyo walaaa hukupaswa kuguna, alafu usijifanye hujui, teh teh teh.

Wifi wapo wachache, hawajakamilika kama sisi ambavyo tunamapungufu yetu, ukipata anazo hata 4 allahandulilah!!!!
 
Wifi wapo wachache, hawajakamilika kama sisi ambavyo tunamapungufu yetu, ukipata anazo hata 4 allahandulilah!!!!

Thidanganyikiiiii, hao wachache ndio nawataka mimi maana na wa kama mimi tupo wachache, birds of the same feathers flies together, acha wafu wawazike wafu wao.
 
Thidanganyikiiiii, hao wachache ndio nawataka mimi maana na wa kama mimi tupo wachache, birds of the same feathers flies together, acha wafu wawazike wafu wao.

Mdowangu kuja huku, wew unazo 7 kati ya hzo ibra87
 
Last edited by a moderator:
I scored 19/20

I am sure wapo wa 20/20

But not me... hiyo namba sita mmeweka vitu vingi sana... wengine hawapigi wala hawaabuse but wanapiga nje japo mara moja kwa mwaka

Mngeipambanua namba sita tupate maksi zaidi
 
Back
Top Bottom