A man who loves his family

A man who loves his family

Ooh nope you haven't.... "Noted"

Whenever you're ready..

treysongzgrammypress.jpg
 
Naomba kuongezea kitu:

Usifikiri ukioa ndo utaanza kuwa hayo yaliyotajwa. Jipime kabla hujaoa.

- Je una FINANCIAL FREEDOM/STABILITY...ukiwa huru kiuchumi utaweza kukamilisha 80% ya mambo hayo. Lakini kama huna investments (mapemaaaa kabla hujaoa) ni ngumu sana.


- Je mahusiano yako na Mungu yakoje sasa? Usidhani ukishaoa ndo utaanza kumwambia mkeo na watoto msali. Kama hukuzoea ulipokuwa mwenyewe usidhani kama utaweza ukiwa na familia (na majukumu zaidi)

KWA UFUPI TU: ukitaka kuwa hayo yaliyotajwa hapo juu...anza sasa! usisubiri mpaka uoe, mpate mchumba..etc etc...
-
 
KATIKA HABARI NYINGINE:

10. He makes time to eat with his family at the dinner table. Dad has to be there.


Huwa nawaza sana, wazazi waishio Dar wanafanyaje? wanapata kweli muda na watoto wao? Mimi tu natoka Mwananyamala kwenda Kigamboni nafika saa mbili/tatu, vipi hao watoto watakuwa macho?


Nyumbani kwa wazazi wangu, chakula cha jioni tulikula wote, chai ya asubuhi jumapili tulikunywa wote. Ilisaidia bonding ya familia na kujifunza table manners and other etiquette!

13. He prays for his family. He knows he needs God to be the best dad and to raise his children the right way. As for me and my household, we will serve the Lord.

"A house that prays together stays together."

Nimeliona hili kwa wazazi wangu.
- Kila mtu huomba kivyake
- wao huomba wawili asubuhi
- familia nzima huomba pamoja jioni.

 
KATIKA HABARI NYINGINE:



[/COLOR]Huwa nawaza sana, wazazi waishio Dar wanafanyaje? wanapata kweli muda na watoto wao? Mimi tu natoka Mwananyamala kwenda Kigamboni nafika saa mbili/tatu, vipi hao watoto watakuwa macho?


Nyumbani kwa wazazi wangu, chakula cha jioni tulikula wote, chai ya asubuhi jumapili tulikunywa wote. Ilisaidia bonding ya familia na kujifunza table manners and other etiquette!



"A house that prays together stays together."

Nimeliona hili kwa wazazi wangu.
- Kila mtu huomba kivyake
- wao huomba wawili asubuhi
- familia nzima huomba pamoja jioni.

[/SIZE]

Jamani hakuna kitu cha msingi kama familia inayoabudu pamoja iwe hasubuhi na usiku pia, vere ver impotanti, kula na kusali pamoja inasaidia sana bond ya familia, sasa wale wenzangu na mie ndio utakuta hadi watoto wanakuwa mashoga wao hawajui, kuwa na muda na familia ni muhimu mnoooo, unless amua kutokuwa nayo.
 
just try me... but kwa contract, usijezidiwa ukafanya for life!!!

nb: hiyo red ni warning... incase ukisema sikukutaharifu before

Maisha siyo rehasal dogo, ohoooo, nilishapita hizo stage za majaribio.
 
Maisha siyo rehasal dogo, ohoooo, nilishapita hizo stage za majaribio.

dah.. hapo kwenye bold I hope umeteleza, am too old for that!!! majaribio hayaishi btw, you should keep on seeking the best
 
Paulo Sergio De Souz hiv ni ma-handsome tu na ma-beauties ndio wana hizo tabia mnzuri maanake naona kwenye thread zako kuna ma hb tu....sisi wabaya mbona hatuwekwi??!!

Na bajeti zako za mihogo uwekwe ili? Teh teh teh! Hujambo ex shemeji?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom