Unarejea safari kama hivi, chumbani kwako jamaa amepumzika kitandani pako na "mai waifu wako" ....hana wasi hata kidogo!.
Patachimbika leo.
Unajua ukifumaniwa halafu unakuwa mtulivu hata mwenye mali atajiuliza huyu jamaa anajiamini nini?? atakuwa mpole tu...
Unarejea safari kama hivi, chumbani kwako jamaa amepumzika kitandani pako na "mai waifu wako" ....hana wasi hata kidogo!.
huyu wife wake na yeye hajipendi
chumba chenyewe full equiped afu anafanyia mzaha humo humo.....
Hivi hayo ukutani ni mapanga/majambia/visu?
hehehehehe, hihihihihi!Hayo majambia hapo ukutani yanaweza kupata kazi ya dharura!