A logical answer to alogical question!!!!!

A logical answer to alogical question!!!!!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,549
Jamaa mmoja mzungu alikuwa anakatiza gengeni na nyani wake, yule nyani akanyakua ndizi na kula, mwenye genge (a black man by the way) aka mind, yule mzungu akamwambia unalalamika nini na hali aliyekula ni ndugu yako? mwenye genge akanywea kutokana na kauli ile, baadaye yule mzungu akakuta nyani wake ameuawa, akamuuliza mwenye genge kwa nini umemuua nyani wangu, mwenye genge akamjibu "HAYAKUHUSU HAYA NI MAMBO YETU YA KIFAMILIA" lol!!
 
Du hatari, kweli nimeamini mtu anayekukejeli dawa yake mkejeli zaidi.
 
Dawa ya jeuri ni kibri! Akhome siku nyingine... Teh teeeh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom