Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Wao kututukana wanaona kawaida.Daah jamani, halafu haya mambo wanaume wanayatetea kabisa wanayaona ya kawaida.
Take this advice or get the *** out of here.Nlikuwa kama wewe tu unachowaza sa hivi na sasa nmeshtuka kwamba mtu wa aina niliyemfikiria akilini hayupo sababu hata dada yangu tu wakuzaliwa nae hafanani kitabia na mimi
Toka katika ujinga huo kabla ujachelewa
Mimi mkuu siyo muumini wa unyanyasaji wa aina yoyote lakini pia siamini katika ndoa. Naamini ndoa ni obsolete na jamii ina nafasi kubwa ya kustawi kama mwanamke na mwanaume watashirikiana bila kuoana.Sasa mkuu mbona na kwenye ndoa hamkuwagi hivyo eti?? Mnasemaga eti mwanaume hatakiwi kuongea sana yeye ni kupiga tu??
Umeona eenh?? Yaani sijui wana shida gani eti acha kazi ukiacha manyanyaso sasa sijui mtu ufanyaje!!Wao kututukana wanaona kawaida.
Hawataki tufanye kazi..ukikubali usifanye manyanyaso yake Sasa...unakula matusi kila siku
SawaMimi mkuu siyo muumini wa unyanyasaji wa aina yoyote lakini pia siamini katika ndoa. Naamini ndoa ni obsolete na jamii ina nafasi kubwa ya kustawi kama mwanamke na mwanaume watashirikiana bila kuoana.
Hapo sasa ndiyo shida..Tatizo wameanza kuattackiana
Some things, you just don't think about them. You could research about them.Last night i had been hinking over that fact, i failed to realize it!
Take this advice or get the **** out of here.
Ina TV ndani,.?
Una sura ya baba, mama, mjomba, au auntie??
Vyoote unavyo wewe siyo?
Je uko chini umekalmilika au ndo zile pugi bwalo na kaharufu fulani ukimaliza kugegedwa?
Uko ulipo wanaume hawapo kiasi iki ?
Na kwanini uje utafute uku kwa Id fake????
Vigezo vyote ninavyo shida ..... Ila kuuziwa mbuzi kwa gunia sitaki.
We nawe vipi, vitu vingine unapita tu. You don't have to exhibit your foolishness everywhere you go, you know.Jina lako limefanya nisisome hta uzi wako
Hmmm...try harder.Sasa unaleta magazeti iyo yote kutafuta bwana ........ Sura limekukomaaa kama kundu la nyani mzee
Hata kwa machungwa mawili siwezi kuwa na jitu kama wewe!!
Mara nyingi mijitu kama wewe mnakuwaga mibaya mishape ni kama mitangawizi halieleweki
Asante Shimba.Inaonekana unajua unachokitafuta; na ni haki yako kukitafuta mpaka ukipate. Shida kubwa katika jamii yetu ni kwamba watu wamejivika uhakimu wa kuamria watu wengine waishije. Kumbe kila mtu ana haki kabisa ya kuishi atakavyo na kufanya akipendacho ali mradi tu asivunje sheria. Ndiyo. Umeweka vigezo vingi sana katika huyu mwenzi unayemtafuta lakini ni haki yako. Cha muhimu tu jaribu kumshirikisha Mungu (kama unamwamini). Kwa tunaoamini na wenye exposure kidogo na mambo haya hili ndilo jambo kubwa kabusa katika kutafuta mwenzi wa maisha. Kapate unachokitafuta
Roger that!Inaonekana unajua unachokitafuta; na ni haki yako kukitafuta mpaka ukipate. Shida kubwa katika jamii yetu ni kwamba watu wamejivika uhakimu wa kuamria watu wengine waishije. Kumbe kila mtu ana haki kabisa ya kuishi atakavyo na kufanya akipendacho ali mradi tu asivunje sheria. Ndiyo. Umeweka vigezo vingi sana katika huyu mwenzi unayemtafuta lakini ni haki yako. Cha muhimu tu jaribu kumshirikisha Mungu (kama unamwamini). Kwa tunaoamini na wenye exposure kidogo na mambo haya hili ndilo jambo kubwa kabusa katika kutafuta mwenzi wa maisha. Kapate unachokitafuta
mbona ulichofanya wewe ni sawa tu na nlichofanya mimi...ungekua na busara zaidi usingequote!!We nawe vipi, vitu vingine unapita tu. You don't have to exhibit your foolishness everywhere you go, you know.
Amen to that, may God fulfill your's too.We as small minded menboys at kindagaten tutapendwa na nani!! Any way
May almighty God fulfills yr wishes