A letter to my future lover

A letter to my future lover

Sijakosa wanaume, sijaridhika tu. Na disadvantage ni kuwa mwanaume yeyote anaweza kumtongoza mwanamke, wengi tu, Ila mwisho wa siku unagundua kuna vitu hamko compatible at all.

So modern day problems need modern day solutions.

Mnaweza mkanicheka na kunikebehi na kuniona najiona wathamani sana Ila niko real na ninachokitaka, na hii imemisaidia sana kwenye mahusiano.

I'm going to give this explanation for those with inquiries;
Mahusiano yangu ya Kwanza yaliisha my ex alivyorudi nchini kwao ndio maana nimesisitiza kwenye proximity.

I stayed single but sexually active for a while before starting another relationship which ended up because of trust issues.
Again I'm single but sexually active.

In all those relationships, my exes or I were not perfect but atleast we were compatible based on my standards. Sijawahi settle for less na changamoto nlizopata kwenye mahusiano yaliyopita najaribu kuyakabili kwa kuboresha my standards.

Sio rahisi kupata mwanaume mwenye hizo qualities randomly in real life, kwahiyo kuweka hii post itasaidia kuongeza my chances of getting him.

Kuhusu uzuri, sitaweza kusema I'm a 2, 8 or 10. Beauty is perceived differently by people, it could be a combination of alot other things or just physical aspects to others.

Ila mimi najitambua ni mzuri, some will agree with that, some will not. Everyone has their preferences. As I said, beauty lies in the eyes of the beholder.
tako lipo?
 
Highly IQ with highly strong women, plz be like what you want to be. Good women in good vision at a right time. I want to be yours because you have criteria what I want my lover one to be. Just come my dear for more discussion concerned what we want to be.
 
1. Unasoma SUZ.

2. Mama yako mwenyeji wa Znz baba mwenyeji wa Kagera.

3. Baba yako ni pioneer wa moja ya hospitali kubwa ya binafsi iliyopo jiji la Dar es Salaam but alizidiwa kete na mhindi akapigwa chini.

4. You are not the real daughter of your so called mom as many believes.

Because of each ones proudness we failed to reconcile and now you are here wandering while we were very compatible.


INAFUTWA.
 
1. Unasoma SUZ.

2. Mama yako mwenyeji wa Znz baba mwenyeji wa Kagera.

3. Baba yako ni pioneer wa moja ya hospitali kubwa ya binafsi iliyopo jiji la Dar es Salaam but alizidiwa kete na mhindi akapigwa chini.

4. You are not the real daughter of your so called mom as many believes.

Because of each ones proudness we failed to reconcile and now you are here wandering while we were very compatible.


INAFUTWA.
ukisikia kuna watu wanatakiwa mirembe, ndo huyu jamaa hapa. Sasa ndo nini hicho umeandika.Kweli sociopathy is real.
And I can't believe someone took their time to write this. Yajayo yanafurahisha.
 
They will say that you've listed all those criteria just because you're 23 and that when you reach around 29 without the kind of man you want then you will start to lessen those criteria one after another till you say that you are ready to have just any kind of man without any criteria
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom