MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Jamani alieelewa naomba anieleweshe,kasemaje??
Is that a threat? LolEndelea kufikiria Unayo Yafikiria Malizia Degree Yako kwanza Uje mtaani.
When it gets there, I'll talk about it with my future partner. It's not with married or taken people and it's for proximity reasons. It's more like an emergency button.no.14 is contradicting, how comes you dont want married men or taken guys whilst you are willing to have open relationship.
...kweli JF inavichaa, nahisi itakuwa imefungwa endoscope inaingia kuchunguza uterus kabisa hiyo.



If I'm blessed to live to 27, It won't be here. I'll be busy pursuing my other life goals. TikTok..Nins uhakika uko below 20.
Nasubiri ufike 27+
Baba Swalehe ( mbobez 😀)
Mwifwa
Ni lugha ndio tatizo au hamko interested?
Wapi mzee wa kuzichakata papuchi Zero IQ wewe unachakata za maji matitu tu? Njoo ukutane na bigbrains huku 😀😀
Castr usijifanye huoni huku au umezoea vya kunyongwa?


hapo kwa Zero umeuaAsante
Nlikuwa kama wewe tu unachowaza sa hivi na sasa nmeshtuka kwamba mtu wa aina niliyemfikiria akilini hayupo sababu hata dada yangu tu wakuzaliwa nae hafanani kitabia na mimi
Toka katika ujinga huo kabla ujachelewa


sijui kama atakuelewaSawa.Ulichoandika kinaakisi jina lako la jf, unatoa vigezo lukuki, hlf ukute hata chura huna, ungekuwa mzuri/beautiful kama unavojinadi usingekuja humu jf kutafta mchumba, ungewapata wanaume huko huko mtaani Thatdumbgirl
Aisee tangu nimeanza soma huu uzi hakuna mahali nimejikuta nacheka kama hapa baada ya kusoma comment yako mkuu.Hapa sitoboi mkuu
Sijaway kukuona unaandika kizunguHahahaha safi sana... Sifa zote ninazo !!!
ChatWow,what a women...Let us have a chart please!
Naanzaje kukiandika na kilinipita kushoto...Sijaway kukuona unaandika kizungu
Haha ! Kazi kweli kweli.Chat
Kwa nini?Haha ! Kazi kweli kweli.