A letter to my darling!

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Usiwasikilize hao dear! Hao ni wale wasiopenda penzi la Filipo na marejesho lidumu! Nakupenda kama samaki na maji, kidumu na mfuniko, mlevi na pombe, kufuli na ufunguo, soda na opener, nyani na ndizi, kigoda na makalio, paka na maziwa. Preta, Arushaone, Erickb52, @Blaki Woman, Kabakabana, Mungi, PakaJimmy ni mashaidi, sweetlady tu ndio hatutakii mema! You are my only one!
Mwaaaaah! You are my only one too Filipo! Wambie Erickb52 na Arushaone waache kuingilia penzi letu! Umkanye na marejesho pia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom