Haha ha! Don't messwith oldfolkd
Bibi kizee mmoja (83) aliamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kujipa treat ya kukaa kwenye hotel nzuri, jijini London!
Asubuhi, kapewa bill ya £250 akiwa amepigwa na butwaa akasema "what? Just a single night in an ordinary room inacost that much? Akakataa kulipa! Akaomba kumuona Meneja!
Meneja alivyokuja, akaexplain kuwa hiyo hotel ina swimming pool, usiku kulikuwa na live band, kuna rare collectin za wine etc; but yule bibi akasema hajatumia any of those extras. Meneja akasema, "sorry madam, but there were here, you could use them"
Bibi akaandika cheki ya £40 akampa Meneja, Meneja akasema whattt??? Bibi akasema "nimededuct £210 as a charge of sleeping with me;" Meneja akasema, "but I didn't!" Lakini bibi akamjibu, "u could have, l was here so l am charging u for that!"