Risenshine
Member
- Nov 16, 2015
- 26
- 13
Mrejesho tafadhali, majuma kadhaa yamepita. ....umefanikiwa? Tujuze ili pm zako sijae.....wengine Watafute malisho ya kijani wakiwa na Matumaini kuwa wanaume/wanawake wa hajali zao wapo hapa Jf.
"Tena hii dhana ya kwamba 'after all I am learned' itoe kwa akili yako kabisa".
Sasa mimi ndiyo nina superiority complex au wanaume watakaoniogopa ndiyo wenye inferiority complex?
Anyway, thanks for sharing your thoughts!
Yote ni moja.
Coz u r learned, u thnk u r more superior than men and 30 ur only doing them a favour by marrying them. As 4 gents, they thnk they don't belong 2 ua calibre or jst feel inferior compared 2 u, MISS INDEPENDENT.
Uko makini dada..Mungu anataka kukufundisha kitu,na naona hicho kitu ni maana halisi ya " Christian/Christianity" Mungu akupe neema ya kumjua Yeye Mathayo 6;33...all the best!
kwa Kwel nakupongeza sana, wanawake wa kiafrika wengi hawajipi fursa ya kuchagua wakipendacho. Nakuombea umpate mwenye hvyo vigezo umpime kwenye mizan ya uaminifu mtaishi vizur. Mm binafsi vigezo vimeniweka pemben.
Risenshine, vigezo hivi ndo kwa sasa uko kwa 30's, sipati picha ulipokuwa kwa 20's. Ila all in all vizuri umekuwa so clear mana mim hapo kwa gambe na age ndo nlipotoka. If fortune is mine ntasubiri vigezo vyako ukifika 40's mana as age goes up vigezo go down
upate haja ya moyo wako
post count: 57
since: 2015, nov 16
other: Member
following her replies to commentators here, i can bet hamna mwanamke hapa.
Try to be a woman and act as a lady. Find yourself what is wrong in you.
So far so good you are 30+, anyway, anything can happen. But my sister, have you ever thought of being single lady for the rest your life? If I may ask. Lots of requirements, some people make huge money with no single element of higher education na hawana huo mpango wa kujiendeleza, nao hawakufai? After all hata waliopita shule kama wewe lengo lilikua kujiweka sawa kimaisha. Sasa anatafuta nini tena?
If you feel offended am sorry my dear. BTW Best of luck.
Post Count: 57
Since: 2015, Nov 16
Other: Member
Following her replies to commentators here, I can bet hamna mwanamke hapa.
Try to be a woman and act as a lady. Find yourself what is wrong in you.