A husband/Life partner

Pole kama umekasirishwa!


Dah kwa sifa hizo ungekuwa ushaolewaa...okey

Makushauri punguza ngonjeraaa inaonekana wewe ni much know sana.

But kama una B nicheki PM tumalize hili swala na uondoe hili tangazo
 
reading your posts is quite interesting but after an intensive scrutiny I realised that are the cocacola made products.
Blah blah nyingi zote hizo za mini?
 
I don't think if you have to pay tax to express yourself! The stage is yours go on!

reading your posts is quite interesting but after an intensive scrutiny I realised that are the cocacola made products.
Blah blah nyingi zote hizo za mini?
 
But also keep in mind that there some people who are seriously addicted to Coca Cola! Sorry if that's not your favorite drink!

reading your posts is quite interesting but after an intensive scrutiny I realised that are the cocacola made products.
Blah blah nyingi zote hizo za mini?
 
Kama kweli una nia ya dhati ya hili hitaji naamini Mungu atakusaidia,maelezo yako yanajitosheleza na una sifa zote za kuwa mke kwa mume mwema,binafsi ningekidhi vigezo vyako ningetangaza ndoa bt hapo kwenye umri ni kikwazo kwangu coz yawezekana tunalingana,bt all the best dadang
 
Ahsante ubarikiwe. Nakuombea kwa Mungu akupe haja ya moyo wako rafiki!





 
Risenshine, nimefuatilia baadhi ya post zako, nikiunganisha na sifa za mwanaume unayemtaka seems you're born again.

Kwanini unashindwa kuliweka wazi hili? Usinielewe vibaya ni mtazamo wangu, zaidi nikutakie mafanikio katika hitaji lako.

Kumbuka ni rahisi kumpata mwanaume lakini kumpata mme kunahitaji subira.
 
Last edited by a moderator:
Mrembo nakupa ushauri wa bure.
Nimesoma baadhi ya replies zako na kuona kwamba wewe ni dada ambaye ni instructions 'giver' na sio 'taker'. Unaonekana kujiamini sana na unachofanya kiasi cha kuwa na dhana kwamba unaweza kufanya bora zaidi ya wanaume 'superiority complex.'
Ila ninachokwambia, wanaume hawapendi wanawake wa kushindana nao. Tunapenda wenye kutii hata kama jambo hulitaki, bora kwetu tumelipenda.

Ukiwa na hii dhana kumpata mume itakuwa taabu na kama atatokea, basi he will have to instill some respect into you in any way possible!
Try to be a lady for once.

Huwezi kuwa above men kama unataka kuolewa for heaven sake! Mwanamke should be submissive always.

Tena hii dhana ya kwamba 'after all I am learned' itoe kwa akili yako kabisa.
 
Mimi nimekosa baadhi ya sifa hapo ila naweza kukufariji kwenye hiki kipindi cha mpito dada Risenshine.
 
Last edited by a moderator:
"Tena hii dhana ya kwamba 'after all I am learned' itoe kwa akili yako kabisa".

Sasa mimi ndiyo nina superiority complex au wanaume watakaoniogopa ndiyo wenye inferiority complex?
Anyway, thanks for sharing your thoughts!



 
Kwanini unashindwa kuliweka wazi hili?
Ulikuwa unamaanisha nini hapo rafiki? Ila ahsante kwa ushauri na sala zako.. Ninamwomba Mungu nashirikisha akili na subira ikiwemo rafiki! Just wish me the best!


 
Aisee kila la kheri ila kumpata mume mwenye umri wa 35-42 ambaye atakidhi vigezo vyako si kazi rahisi
 
Hahahaha! Haya ahsante!

Mrejesho tafadhali, majuma kadhaa yamepita. ....umefanikiwa? Tujuze ili pm zako sijae.....wengine Watafute malisho ya kijani wakiwa na Matumaini kuwa wanaume/wanawake wa hajali zao wapo hapa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…