A husband/Life partner

Itapendeza sana comments zako zikiwa zinaendana na signature zako hasa hiyo 1 Timothy 4:12! Ni hayo tu!

Utakuwa ulinisoma with a negative perspective...well, have a nice time ma'am!
 
heeeeeeeeeeeeeeeee mwana wa adamu aisee yako kali best

sijawahi kucheka kama leo ulivyonichekesha na kunishangaza hahahahahhahaaaaaaaaaaaaa
 
You can say it again.. she has to learn something here!!!
 
Mtu mwenye hizi sifa nzuri hivi hawezi kuwa single mpaka umri huo wa 35 to 42. Kila mwanamke anamhitaji na kwa jinsi walivyo wengi kuna ambaye ameshammiliki. Hata hivyo I wish you good luck!
Ukimkosa kabisa rudi kwangu tule raha za dunia.
 
Raha za dunia unajua mwisho wake nini? Hahahaha! We endelea tu na raha zako za dunia.

Mtu mwenye hizi sifa nzuri hivi hawezi kuwa single mpaka umri huo wa 35 to 42. Kila mwanamke anamhitaji na kwa jinsi walivyo wengi kuna ambaye ameshammiliki. Hata hivyo I wish you good luck!
Ukimkosa kabisa rudi kwangu tule raha za dunia.
 
Unaweza kuoa hivi hivi bila kupenda
 
Umri umenitoa katika mchuano....kila la kheri dada yangu katika kumpata mume bora wa ndoto zako.
 
Umri umenitoa katika mchuano....kila la kheri dada yangu katika kumpata mume bora wa ndoto zako.
 
I have none of the above and I'm the right person for you. Actually, you have to PM me ASAP
 
Mkuu, this post is very interesting and it deserve to be an independent post on its own. It's a crosscutting topic.
 
You can start a post ,for it if you like. Mimi niliitumia tu kuwasaidia wale wenzetu wanaopenda ku conclude kuhusu maisha ya wengine without seeking to know what they have been experiencing. Ila ni ujumbe mzuri sana kwetu!

Mkuu, this post is very interesting and it deserve to be an independent post on its own. It's a crosscutting topic.
 
Hehehe nimeingia kwenye hii thread sio kutafuta a partner ila to see how people write, human psychology is funny especially when it comes to these relationship stuffs, Nilichokutana nacho leo duh!, we mwanamke kweli una majibu I'll give you that, yaani the way you write and respond to stuffs unanikumbusha a lot of things. I think you are a smart lady na unajua what you want, Goodluck to you.
 
Marriage happens by chance not by choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…