Kwanini sasa walimruhusu agombanie Uraisi wa Jamhuri kama wana wasiwasi na uwezo wake?! Wasifanye CHADEMA ionekane ni kituko cha kwenye Futuhi.Bandiko safi! Ila ukiangalia context aliyonayo mbowe na chama kwa ujumla, bado hakuna harmony, though lissu ana determination mbowe anamuina bado hana maturity ya kisiasa na kidiplomasia