A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

Wewe uliishia pale, nami nikataka niishie hapa; lakini naona bado upo. Sasa sijui tufanyeje?
Nadhani la kuchukua kutoka kwangu ni hili kwenye Lissu na Zitto wote ni wanaharakati na wapenda sifa.
 
"Uanaharakati" maana yake ni nini; kwamba iwe sifa mbaya kuwa nayo kiongozi. Uanaharakati ni kuwahujumu wananchi?

Uanaharakati wa Zitto ni upi, binafsi siujui, lakini anayo mambo kadhaa yanayomwondolea kuwa na sifa za kuiongoza nchi kwa utulivu.
 
Mwanaharakati ni mtu anayetengeneza tatizo ambalo halipo, analitafutia ufumbuzi na kujipa sifa mwenye kwa kulitafutia ufumbuzi
 
Kwa maana hiyo ni kuwa wewe huoni tatizo lolote katika siasa za Tanzania! Wewe utakuwa unafaidika sana na hizi takataka zilizopo sasa.

Sasa kama Lissu anatafuta kutatua ufumbuzi wa matatizo yasiyokuwepo, basi anastahili kuungwa mkono vilevile.
 
Mkuu nimesomeshwa na serikali- unataka nifaidike na nini zaidi wanipe dawa ya kutokufa?
 
Katika hilo sidhani kuwa unaweza kuishinda hadithi niliyo nayo mimi.
Sasa kama ulisomeshwa na serikali, halafu ikawa ndiyo rushwa ya kununua uwezo wa akili yako kutambua na kuchambua mambo, hapo tutakuwa tunapishana sana.

Inabidi nitie mashaka kama kweli ulielimika!
 
Mkuu, nadhani nawe ni mwanaharakati mwingine na sina namna ya kukusaidia.
Mimi naishi kwa akili yangu na kufuta natural laws.
 
Hiyo sifa ya 'uanaharakati' kama unavyo ielewa wewe hainipi shida hata kidogo, na wala sidhani unao uwezo wa kunisaidia kivyovyote.

Hizo "'natural laws'" unazodai kuzifuata, unazielewa vizuri lakini?
 
Nadhani tulishakubaliana huna cha kunisaidia na miye sina cha kukusaidia pia. DONE. In respect to my observance of natural laws, it is obvious one can not subscribe to what one does not know.
 
What the heck is that? Do you have an option to conforming to "'gravitational pull" for example, other than accepting it whether you know it exists or not
Nature + Natural law= Reality
Nature + wishes= Utopia
 
Back
Top Bottom