A God can be a mere theory, nothing more

A God can be a mere theory, nothing more

'....religion is opium of society...' Karl Marx. so it is not a theoru but ganja. Jinsi wanadamu wanavyozidi kuelewa na kuweza kuyatawala mazingira yao ulimwenguni dini zitakwenda likizo na hatimae kustaafu.

Inamaana watu wanaoamini dini hadi sasa bado hawajajua mazingira yao na kuweza kuyatawala? hebu tuthibitishie hilo.
 
mental slavery ni aina mbaya mno kuliko aina zote za utumwa,hapo awali walitutawala kwa kutufunga minyororo miguuni, mikononi na kiunoni utumwa ulipoisha wakatuachia na dini ambayo kwa bahati mbaya ni utumwa wa akili ambao kiuhalisia hatutakuwa free tena..walitumia dini kutufanya wajinga na watumwa na wakatuachia dini kuendelea kuwa watumwa wao na hakika sisi ni watumwa,kwa nyinyi wachache mliofunguka akili nawapongeza sana ila wengi bwao ni watumwa pamoja na vizazi vyao.

Aone everlenk hii.
 
Last edited by a moderator:
Then tunaambiwa mtume aliuita mwezi na kuugawa ukawa vipande viwili kwenye viganja vyake, infact wanauchulia mwezi kama mpira wa netball. then tunaambiwa Mungu kapanga kila kitu but ujinga unaendelea duniani haambiwi yeye ni source. watakao kwenda mbinguni na motoni tunaambiwa ameshawapanga.

Yaani hizi dini zinauongo kiasi kwamba hata uyo Mungu kama yupo, huko aliko anacheka sana!!!

Ya kaisha wapanga kwa maana wote wanaweza kwenda peponi au wote wanaweza kwenda motoni bila yeye kupungukiwa na chochote wala kuongezekewa na chochote.
Maana mungu si mdhurumaji!
Kashakupa machaguzi na kakupa matokeo ya machaguzi hayo.
Ukifata mafundisho yake utanda peponi.
Usipofata utaenda motoni.
Najua hata wewe unayajua haya.

Na kanuni hii ndio inayotumika duniani.mwenye kufuata sheria Fulani atakua Fulani.

Na vinginevyo ni dhuruma na upendeleo.

Mungu hadhurumu wala hapendelei.
 
Then tunaambiwa mtume aliuita mwezi na kuugawa ukawa vipande viwili kwenye viganja vyake, infact wanauchulia mwezi kama mpira wa netball. then tunaambiwa Mungu kapanga kila kitu but ujinga unaendelea duniani haambiwi yeye ni source. watakao kwenda mbinguni na motoni tunaambiwa ameshawapanga.

Yaani hizi dini zinauongo kiasi kwamba hata uyo Mungu kama yupo, huko aliko anacheka sana!!!

Kama unakataa kuwa mwezi uligawanywa.

Je, unakubali bahari ya shamu ilipasuliwa katikati watu wakavuka?

Je, unakubali watu wanafikaga mwezini?

Unaziamini sayari zingine?

Kwa nini?
 
Aisee ktk dini watu wanadanganywa sana, wengi huingia uoga wakiambiwa habari za motoni na story za watu walioangamizwa.

Orodhesha wapi kwa ushahidi wa nukuu za maandishi na ueleze ulivyoelewa,NINI MUNGU KADANGANYA?
 
Ikiwa ni hivyo hao wanaedai yupo wamemtambuaje?

Soma point no. 9 ktk thread Mkuu.

Mkuu unaweza kuelezea shetani ni nani? ni kiumbe?

Sasa kama kweli wewe umefanya utafiti,
Hujaona maahali panapoonesha jinsi ya kumtambua mungu?
 
Ikiwa ni hivyo hao wanaedai yupo wamemtambuaje?

Soma point no. 9 ktk thread Mkuu.

Mkuu unaweza kuelezea shetani ni nani? ni kiumbe?

Shetani ni roho ifundishayo mafundisho yaliyo kinyume na ya mungu kupitia kwa wanadamu.
 
Sema wewe. Sisi tunaonekana vichaa.

Najua watu wanotambua hizo habari za motoni ni uongo na story nzima ni uzushi lakini wanakwenda kuswali kwa sababu dini kwao imekuwa kama therapy.

Hawakubali kukubali uhalisia wa maisha kwamba life is not fair. Hivyo mtu anaona akiswali kidogo shida zake zinapungua na anakua na amani fulani.

Kila unachokifanya unajiamulia?
 
Hapa mimi ndo nlikua napataka hii inaonesha dhahiri watu walivo na uelewa mdogo wa Mungu basi kama hamtujui Mungu kwakua sisi ni wadhaifu sana na yeye alie Mkuu sana its safe to say kuna mambo ya uongo tunayompakazia Mungu wetu na huenda yanayotokana na huo udhaifu wetu na ukuu wake tuendeleeni kujitahidi kumtafuta Mungu tusichoke tena bila woga tukazane

Udhaifu wetu naam!
Ila si udhaifu wa mungu.
God is perfect.
 
Mashaxizo Inabidi tuanze kuwaelimisha watu waelewe. Kipindi hiki watu wanaamka tena kwa kasi kubwa sana. Uongo uliowekwa kuhusu uwepo wa mungu kwenye maandiko wanayoyaita matakatifu ni uongo mkubwa.

Ninajiandaa kipesa nitaanzisha midaharo mbalimbali kwenye TV na mafundisho ya kuwaelimisha watu waanze kuamusha consciousness zao.
Ubepari, Umwinyi, Ugaidi, Ukafiri na chuki zimesababishwa na Dini hizi za kikristo, kiislam na kiyahudi.

Vitu hivyo havijasababishwa na Dini. Ila vimesababishwa na watu wanaoitumia vibaya Dini kwa maslahi yao.

Dini gani inafundisha ubepari,umwinyi,ugaidi na ukafiri? Maandiko tafadhali kabla ya maelezo.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu nadhani unachanganya vitu hapa. Hapa tunaonesha jinsi gani maandiko yenu yanavyojichanganya kuhusu uwepo wa mungu wenu. Sasa kulingana na hayo na mungu wenu kutojitetea ni sawa na yule mungu wa kichaga aliyevunjwa.

Mungu gani ashindwe na shetani?, mungu gani ahukumu watu wake? mungu gani apende wazungu tu? mungu gani huyu?
Ni lazima tuutafute ukweli. Na pale utakapoanza kuutafuta ukweli nuru itakuangazia.

Akili unazo sawa! Una utashi kweli wewe?
 
Aisee! Sasa mkuu ikiwa Mungu ana/mepanga kila kitu kwani unasema Atheist wameniweza? Na ikiwa amepanga kila kitu basi yeye si hakimu muadilifu kama anavyodai. kwanini wengine wapangiwe kuongoka na wengine kupotoka? kwanini wengine wapangiwe kwenda motoni na wengine peponi? Ivi ni kweli Allah (sw) anaupendeleo?


Mungu anaweza kuwepo lakini si anaeongelewa na wakiristo na waislam.

Kila mtu anamtazamo wake kuhusu kuwepo hapa duniani.

Mfano mdogo: Hata wanafunzi wamepangiwa kufaulu na kufeli.
Atakayefanya vizuri atafaulu,atakayefanya vibaya kafeli.waweza feli/kufaulu wote au baadhi.
 
Back
Top Bottom