Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
hiyo miaka huna mme?mana sitaki kuja kufumaniwa mpaka tunapigwa picha live kama mipanya vilivyotegwa,kama huna mme twende tuogelee kwenye raha ya milelesema basi umri chat
Umeona enh?
hiyo miaka huna mme?mana sitaki kuja kufumaniwa mpaka tunapigwa picha live kama mipanya vilivyotegwa,kama huna mme twende tuogelee kwenye raha ya milelesema basi umri chat
Umeona enh?
hiyo miaka huna mme?mana sitaki kuja kufumaniwa mpaka tunapigwa picha live kama mipanya vilivyotegwa,kama huna mme twende tuogelee kwenye raha ya milele
Hehehe unajificha sana also miaka 39 si ishu kwenye mapenzi mbona ukipandiwa kifuani utalia kama mtoto,fursa zinahusika vipi?kwa umri wako hata movie za gods must be crazy na zinginezo nahisi naweza kukukumbatia tu kifuani tukaenjoy,mpira kama bongo utahadithia ivon mapunda na kipanya malapa,unajua umri wa mtu unaezungumza nae ni muhimu sana? Kama ni mtoto tunaongelea shule, carreers, fursa za sponsorships na nyinginezo. Kama ni kijana we can chat kuhusu movies na series, madisko na miziki. Kuna wazee wenzangu tunaongea mpira, mashamba, ujenzi, malezi na ndoa, biashara za hela za fasta fasta kasoro sembe, na fursa za mjini.
kwa hiyo umri wake lazma niujue nisije nikamconfuse zaidi hehehe
nifanyie research and see yourselfRaha za milele zipi hizo?
ndo hivo bhana ukijamba unaambia umeumia?pole babe
In magic cityKwikwikwikwiii. Wanapatikana wapi wa sampuli hizi mkuu?
In magic city
Hahaha
Chart inatia mimba lol
mapenzi matamu hata ukijamba unaambiwa ""beiibe pole",,hao ndo wa ukweli
Today i feel alittle bored, so if there s any girl bored like me and wants to chart please send me a pm i wl check you. Thanks
hamna girl humu?