A girl siyo? Ili umpe mimba? Kwani huna dada nyumbani uchart naye?
Hello, tuheshimiane ndugu, the problem n kwamba hayo ndo pekee unayowaza kichwan mwako, sio kila anayeingia hum anatafta gals lol..!!
hamna girl humu?Girl humu?
Girl humu?
mapenzi matamu hata ukijamba unaambiwa ""beiibe pole",,hao ndo wa ukweliKuna ma beiiibe
mapenzi matamu hata ukijamba unaambiwa ""beiibe pole",,hao ndo wa ukweli
ndo hivo bhana ukijamba unaambia umeumia?pole babeMkuu nimecheka sana..
niruhusu mi naweza ,40 yrs kitu ganiBado upo bored tuchart? Im a 40 yrs old gal
niruhusu mi naweza ,40 yrs kitu gani
Sasa Mbona umeanza kwa kujielezea umriii? Unajua yeye ana miaka mingapi? Tambua tu ikiwa unajamba unaambiwa pole bebz bas jua umri haujalishi,
aaah thread hii hii,nianzishe unikimbie?mbona unajifanya umekubali si tuchat PM tupeane namba si ndo mzuku,hhhehehheeHehehe anzisha sredi ya kutaka a girl wa kuchat ndo nikuruhusu rasmi.
hahaha mi huwa sibreki ze wind hadharani banaa. Ila inabidi nitaje umri manake kuna watu hawataki nijiite gal just becoz i am 40 yrs younger!
hahaha mi huwa sibreki ze wind hadharani banaa. Ila inabidi nitaje umri manake kuna watu hawataki nijiite gal just becoz i am 40 yrs younger!
sema basi umri chatMmmmh ila hio si busara kwani najua litakalo fuata baadae nawewe kutaka kujua umri wa mwenza wako, wengine Kama mie hawapend hizo conversation,Kwan mwenye thread alitaka gal wa kuchat nae haku specify ni wa rika gan......
aaah thread hii hii,nianzishe unikimbie?mbona unajifanya umekubali si tuchat PM tupeane namba si ndo mzuku,hhhehehhee
Mmmmh ila hio si busara kwani najua litakalo fuata baadae nawewe kutaka kujua umri wa mwenza wako, wengine Kama mie hawapend hizo conversation,Kwan mwenye thread alitaka gal wa kuchat nae haku specify ni wa rika gan......