A friend without Benefit

A friend without Benefit

Hivi wifi yako unamjua eeh...

Nilikuwa na rafiki wa hivyo bhna sema nitakusimulia siku nyingine
Ahahahaha njoo pm basi unipe ubuyu boss

Hao nilikuwa nao wengi na mmoja hata sasa yupo.
Du

One time. Sometimes friendship ni nzuri sana kama hamjavuana pichu.
Meona eee all true bro all true

Mi yenyewe Money Penny nashindwaga kukwambia tu
Ahahahaha asante boss kubwaa

Kaka funguka basi
Kwakweli hata mimi nataka afunguke
 
Hamna cha kiushikaji bana!!! Mwanaume ukishamvulia nguo kunakua na feelings za ajabu kati tenu!!!
Preaaaach Mama sitaaa!

Sjawahi kuwa na rafiki wa kike alafu tusikulane hata kwa bahati mbaya
Mwe! We ni Yuda Eskarioti wa kizazi kipya.. ahahaha kidding!

Sijawahi kumtamani hata mmoja, nafiri hii ni sababu ya kuwa na maongezi serious tu hata wazo la kusema huyu atanifaa huwa sijawahi liwaza labda kwa upande wao....
Ehehehhe, swala jike rafiki na simba.. all classic! Ahahaha
 
Hamna cha kiushikaji bana!!! Mwanaume ukishamvulia nguo kunakua na feelings za ajabu kati tenu!!!
Mara nyingi wanawake ndo hua mnaleta feelings,kwenu sex na love nivitu viwili vinavyoambatana.Binafsi nimeshakua na friends with benefit mara nyingi ni wale wasichana wasiokuwa overly emotional,wana lifestyle ya kisela.
 
Kweli!! Ikiwa something continuous msichana ataanza umia tu... (Naongea from experience )
 
Urafiki baina ya Me na Ke uko wa aina tatu
1.Totaly platonic,hapa unakuta urafiki wenu unatokana na kushirikiana shuleni, kazini,hakuna mwenye hisia na mwenzake kila mmoja ana mtu wake na urafiki baina yao ni limited.

2.The Friend zone,hapo mmoja anakuwa anamtaka mwenziwe kimapenzi ilhali mwenzie hana hisia naye na anamchukulia kama rafiki tu,hapo wanastuck kwenyr friendship na kusaidiana mambo mbalimbali lakini mmoja anakuwa constantly anakuwa kwenye kampeni ya kum win nwenziwe kimapenzi

3.Friends with benefit/No strings atached.Thisis my favourite.hapo mnakuwa washkaji sana lakini kutokana na kuwa wote mko openminded and kinky mnakuwa mnapasha kiporo now and then,kiroho safi na hakuna kubebishana
 
Kweli!! Ikiwa something continuous msichana ataanza umia tu... (Naongea from experience )
Ndo haitakiwi iwe continous sasa,unatakiwa upashe kiporo,sasa nyie mlikuwa mnapika chakula kipya cha motoo,lazima unogewe.kisheria inabidi isizidi mara mbili kwa.mwezi alafu mkishamaliza malufuku kutuma text za eti love nimeinjoy sana leo,mara ooh naniliu yako tamu.unatakiwa unamtext we fala umenitia miguu ganzi,au oya mbona umeondoka na ledbluu yangu.
 
Akuu!!! Mambo mengine niwaachiage tu wanaojiweza!
Mimi nikionja nataka nivute na kigoda kabisa nipakuliwe!!!
 
Ivi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka ni handsome, gentlemen and everything in between, and u know! oh you know! deep down inside hamuwezi kuwa wapenzi bora mbakie washkaji tu, yani bora tu muendelee kuwa friends without benefits but friends, lakini unamtamani balaa, yani unatamani awe boy au girl wako!

Me nishawahi kuwa na marafiki kama hao nilitamani tuwe wapenz wa kudumu afu wote wakaoa wake wengine, iyo ilikuwa zamani lkn, sa hivi nikiangalia nyuma nasema asante Mungu, hatukupigana miti au kuwa wapenz... huenda mngeharibu mbovu, maana jinsi mnavyoheshmiana na kuthaminiana sasa hivi, hakuna mfano wake
Je hili lishawahi kukutokea?
Tupe experience yako kidogo basi au bado una regret kumkosa huyo rafiki mkali?

NAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA WAPENDWA!

Mimi imenitokea na kila nikiwaona wale mademu (rafiki wa karibu) wa zamani nabaki kucheka moyoni na kushukuru kwa kuwa sijawahi kuwapiga pum.bu kwani wengi wao wana vitambi zembe na wamechoka balaaa ukilinganisha na mimi.
 
Aisee... Nakumbuka story ya rafiki yangu inafanana na hii scenario.

Huyo jamaa walikuwa shuleni Tanga rafiki yake akawa na msichana dar. Yule msichana akimkosa boywake anampgia rafiki na boywake ambae ni rafiki yangu.
Ikapita muda mrefu ktk style hii ya mawasiliano mpaka rafiki na yule demu wakawa marafiki only ktk simu na email. Ikafika kipindi yule girl wakaachana na boy wake lakini urafiki na rafiki yangu ukaendelea.

Ktk kuelekea kumaliza o level wakawa wamepanga mambo mengi ya kibiashara koz wote wapo ktk familia za fursa. Yule msichana baba na mama yake wanafanya kazi Ubalozi wa UK. Baba from Sycheles mama Mtz.
Wakapanga biashara ya ku import vitabu the girl alikuwa na connection na ndugu zake UK jamaa ni kuhadle bss in Tz branch everything was perfect kilichosubiliwa ni kumaliza form four tuu jamaa asimamie bss.
All over the suddenly rafiki yangu akaanza matamanio ya relationship kwa speed ya kali. Yule msichna akamsihi sana kuwa urafiki wao unatosha na hakuwa tayari kwa mahusiano mengine. Jamaa yangu akakomaa nae sana hapo hawajaonana.
Jamaa akamaliza shule akaja dar siku anaenda kuonana nae akatuaga. Wakakutana kawe msichana akampokea jamaa na GX 100 akiwa na nguo za shule za Int School of Tanganyika. Wakaongea kwa kifupi kisha kila mtu atake 50 zake. Jamaa yangu akakomaa sana na mapenzi na yule msichana akidhani kuwa itaongeza uaminifu ktk biashara. Kilichotea yule msichana alituma email ya kumuaga akabadilisha email namba za simu ikawa mwisho wa mawasilianao . jamaa akakosa fursa ya biashara na mahusiano. So sometimes urafiki wa kawaida utakulipa zaidi ya urafiki wenye mahusiano
 
Ivi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka ni handsome, gentlemen and everything in between, and u know! oh you know! deep down inside hamuwezi kuwa wapenzi bora mbakie washkaji tu, yani bora tu muendelee kuwa friends without benefits but friends, lakini unamtamani balaa, yani unatamani awe boy au girl wako!

Me nishawahi kuwa na marafiki kama hao nilitamani tuwe wapenz wa kudumu afu wote wakaoa wake wengine, iyo ilikuwa zamani lkn, sa hivi nikiangalia nyuma nasema asante Mungu, hatukupigana miti au kuwa wapenz... huenda mngeharibu mbovu, maana jinsi mnavyoheshmiana na kuthaminiana sasa hivi, hakuna mfano wake
Je hili lishawahi kukutokea?
Tupe experience yako kidogo basi au bado una regret kumkosa huyo rafiki mkali?

NAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA WAPENDWA!
Mm sijawahi
 
Mmm sijawahi kwa kweliii labda. Kuna MTU huku jf natamani awe rafiki tuuuu
 
Umeandika kiswahili changanya kingereza changanya lugha ya kibishoo yaani sijui tunaenda wapi...
 
Akuu!!! Mambo mengine niwaachiage tu wanaojiweza!
Mimi nikionja nataka nivute na kigoda kabisa nipakuliwe!!!
Kweli kabisa different strokes for different folks,hii wanaweza wenye roho ngumu tu.
 
nakumbuka mkaka mmoja zamani pale mzumbeni ,mi nilikuaga namuona huyu vip mbona namwonyesha kabisa tafadhari nipigie maskini kumbe mkaka wa watu alikua hana kabisa hisia na mimi hahahaha ...nilikua namtukana sana kimoyo moyo kumbe yeye hana hata moja na mimi yani tulikua karibu zaid ya ukaribu wenyewe.
Nikaja kuelewa kumbe inawezakana tuu
 
Huyo hakua mwanachama wa team fisi,
 
Hizi mambo mpaka walimu walitaka nipatia supplementary chuo. Kuna mdada alikuwa ananiganda kweli kweli; kwangu ilikuwa platonic, wakati huo me nina girlfriend (currently my wife) chuo kingine. Ikifika lunch utasikia call, twenzetu tukale, ikifika dinner nimeletewa chakula. Kumbe kuna walimu wananiangalia kwa jicho baya kweli kweli.

Nashukuru wote tulimaliza salama, me niko somewhere else yeye kabaki chuo anafundisha ndio akapewa hizo, kwamba yule "boyfriend" wako ana bahati sana, mwalimu flani ilikuwa amrudishe. Missed a bullet hivi hivi.
 
Back
Top Bottom