A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Nimefanikiwa kuona hiyo clip akielezea kilichomkuta nimejikuta mwili ukizizima kwa hasira!!

Kwa mwendo huu nchi hii lazima tupeleke watu ICC.....
 
Asingekubali kwenda leaders kuzungumzia mgomo. Halafu hawakuelewana maneno gani?
Kuna kitu hapo!

Inaonekana kuwa huyo jamaa angeweza hata kupewa mlungula na kuwauza wenzake.Hatuwezi kumwamini kwa kitendo chake cha kuitwa 'KUYAMALIZA' na yeye akaenda na huyo rafiki yake.HIVI SUALA LINALOHUSU NCHI NZIMA MNAENDA WAWILI????Kuna jambo hapo.Hizo ni siasa
 
Ulimboka kama hakutarajia hayo basi atakuwa mwendawazimu.
 
Jk ni dhaifu sana na ana husika kabisa.
 
kwa mwenye ushahidi wa uhakika aupeleke polisi au aongee na vyombo vya habari. tuache unafiki.

MOD: FUNGA HII THREAD!!!!!!!!!!!!!! HATUWEZI KUJADILI SWALA BASING ON RUMOURS / TETESI
Wewe nani mpaka unaamuru thread ifungwe? Hebu tupishe huko sie,mmeshindwa mlilokusudia,mwisho wa ubaya aibu.


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hebu tujiulize, nani atakayefaidika katika kupigwa kwa Dr. Ulimboka? Nani alitangaza vita dhidi yake au kile anachokiwakilisha? Ukishang'amua ni yupi atakayefaidika (au aliyedhania angefaidika), kuna uwezekanio mkubwa ndiye huyo aliyehusika na kumpiga huyo Dr.
 
Mi naiona hii hali inaashiria kutoweka kwa amani tanzania, sijui hawakufikiria athari ya kufanya unyama huu kama ilivyowatumia viongozi wa dini Igunga na inavyoendelea kupandikiza chuki za kikanda na udini,miongoni mwa watanzania. Athali zake ni mbaya zaidi ya kuhalalisha utawala uliochokwa na Watanzania
 

Asante mkuu, lakini taja jina la afisa, katika habari hii tafadhali watanzania tusifichane kitu. Hamna mambo ya jina kapuni, hapa hakuna tunayemhifadhi, tunayo kazi moja tu, wakamatwe wote na mamlaka iliyowatuma ing'oke.
 
Alishindwa Kaburu Botha na De clerk itakuwa nyie?
Mbona Field Marshall John Okello aliweza? Mshukuru Mwalimu Nyerere kwa kumpa hifadhi Sultani Sayyid Sir Jamshid bin Abdullah Al Said akiikimbia Zanzibar mwaka 1964.
 
Asante mtatiro,kipindi kigumu kaka tumwombee apone! Dhaifu...................
 
Hivi hii serikali imeishiwa kwa hoja kiasi hiki?
 
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.

Hebu funguka mkuu, eti serikali huwa wanafanya ki-mwakyemb@ method?
 
Daah yaani ikulu ihusike na upuuzi huu huyu dr ni kainzi tu na hii cyo move ya serikali jamani mko dunia gani nyie cku hz kuna teknolojia km serekale ingetaka kumuondoa kiulaiiiniii angeondoka na ingekuwa poa tu mnaleta za abunuasi hapa

This is amateur work not professional, Ikulu au Serikali haiwezi ku-eliminate mtu kwa namna hii. Nahisi ni mtu aliyepoteza mpendwa wake kutokana na mgomo wa madaktari. Kitakachoendelea ni tuuwe tuwauwe (God forbid), hii hatari sana....madaktari kaeni chonjo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…