- Thread starter
- #21
Thanks JerryAll the best dada, utapata tu
Thanks JerryAll the best dada, utapata tu
thank youUtapata mamy,hata kama Si Jf.
Stay blessed.
thank you
Dini christian. vingine si factor.Hey Sindy .. condition/masharti ni mtu kuwa single na independent pekeyake? Vitu vingine kama dini au kabila sio factor kwako? Ukiviweka wazi hivyo vitu mapema itasaidia candidates kujichuja wenyewe
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are interested,, karibu PM. Heri ya pasaka
How do I know that there will be no divorce again? Need assurance first...
Asante sana kwa kunipa moyo. itakuwa, God willingPole cindy, usijali Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe. Wanawake wengi huwa tunajiuliza kama kuna second chance, wengi wamefanikiwa kupata wenza na wakaishi maisha ya amani.
swali la kitoto hili peleka Facebook.
Bitch please! Ddnt ask for your stupid opinion!
Nyie ndio mnaharibu hili jukwaa, moron!
ahaa kumbe bado mtoto, ukikua utaacha huu ujinga unaoandika, utaanza kuandika comments zenye akili.Wewe mwenye akili za kikubwa unayeshinda kwenye mitandao ya kijamii (Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) ndiyo unajitambua?!
Nikifikisha umri wako halafu nikawa ninashinda kwenye mitandao ya kijamii nitajipiga risasi ya utosini.