A day spent well with my bloods..

Mkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek

Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?
mtu kapiga picha alafu kaweka na hela mezani mi naonaga kama dizaini flani ya ulimbukeni hivi.hela zenyewe unakuta zakukaa kwenye wallet sasa sjui kulikuwa kuna haja gani ya kuziweka mezani.eniwei ni mambo ya vijana.
 
Mkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek

Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?
observation kali!
siku-notice hiyo ishu ya mezaπŸ˜€
 
Haahahahaa. Kwanza sasa hivi nimepunguza kunywa kabisa. Muda ule pale natamani Heineken za huyu kaka nilikuitwa naitwa Triple 7 ila nikamshinda shetani nikalala
ashukuriwe Mungu kwa kweli
 
kwa hali hii bora hata umepunguza aisee
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
haya mambo ya back to back sijafanya kitambo!
 
kwa hali hii bora hata umepunguza aisee

Haki nimepunguza sanaaa. Ilifikia point marafiki zetu wakasema wanaelewa kwanini hatuna bfs maana tuko nao muda wote nani angeweza kuanza kututongoza tukiwa nao kwanza. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mungu mwema sana kunipa huyu mtoto kidogo naogopa hata kukaa nje masaa 24 la sivyoooooo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€na kweli mlikuwa hamtongozeki.
heri yako wewe wengine wana watoto na bado mwendo ni uleule
 
Yaani wewe ukiingia kila Bar watu wanakujua! Nikipata demu design hii hata wiki haipiti, natambaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…